Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,408
- 8,901
- Thread starter
- #21
Hee naona watu wamehamaki na wameanza kunishambulia kwa kejeli nyingi, mbona hamsomi vizuri kile nilichokiandika kwa makini mnasoma juu juu tuu, mimi nilichopendekeza ni kitu cha kawaida kabisa na hili inahusiana na uzoefu wangu na hawa watu wa mkoa wa kilimanjaro kwamba ni watu wa maendeleo sana na mkoa wao pekee ndio unaongoza kwa maendeleo tz kuliko mikoa yoote na hata ukienda arusha au dar na ukaangaalia maendeleo makubwa yanasimamiwa na hawa watu, hivyo basi nikaona kwamba hawa watu wana kitu cha pekee ambacho makabila mengine hawana, sasa kuna ubaya gani kama tukijifunza kutoka kwao??
na watu wanaonipinga na kunitukana napenda mnijibu swali moja kutokana na takwimu za serikali zaidi ya nusu nzima ya watz ni masikini wa kupindukia, Je kama mikoa yoote ya tz ingekuwa kama kilimanjaro kimaendeleo hamuoni kwamba hiyo idadi ya umaskini ingepungua kwa asilimia kubwa? na kama jibu ni ndio nini sababu hasa?
Wafanya biashara wengi maarufu dar ni watu wa kilimanjaro swali Je ni kwa nini? ni lazima kuna kitu kuhusu wao... mimi nimekaa kwa miaka miwili kule moshi vijijini leo hii kupata ardhi ya kununua ni kitu ambacho karibu hakiwezekani hii inamaanisha kuwa ardhi karibu yote inatumika sio tuu kwa chakula cha nyumbani bali kibishara pia, wakati nikienda kwetu tabora mpaka leo unaweza hata ukapata ardhi ya heka 10 000 na sio tabora tuu bali karibu mikoa yote ya tz bara unguja na pemba sijafika kwa hiyo siwezi kuongelea.. hata iringa na mbeya mimi pia nimefika na bishara zote kama hazifanywi na waburushi basi zinafanywa na wachaga...
sasa swali ni kwa nini waweze kuwa na mafanikio zaidi....
kama nchi nyingi zinzifunza kutoka nchi nyingine kitu ambacho sio rahisi...na sisi tumepata bahati ya kuwa na watu ambao wanaweza wakatufundisha mambo ya kimaendeleo na wapo nchini mwetu sasa kwanini tusiwatumie? tatizo lipo wapi?