Kabila linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa Tanzania

Watoto wa Kihaya wanaongoza kwa ushepu! Juu wembamba, chini wanene. Watoto wa Kinyaki wamejazia juu mpka chini. Watoto wa Kichaga wamejazia juu chini wembamba...
 
Kwani wema Sepetu ni kabila gani maana kalio lake limefika mpaka kwenye magoti
 
Aah wahaya NOUMEEER, wakifuatiwa na WAMBURUU...
Labda huwajui wahaya... Maisha yangu yote sijawahi kukutana na mwanamke wa Kihaya mwenye matako makubwa, very rare.... Sasa cjui wewe umekutana nao wapi

Hapo kwa wambulu, inaweza kuwa kweli, wengi wana makalio, halafu miguu chelewa
 
Kumekuwa na mabishano sana hapa kazini kuwa kuna kabila gani linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa na hii imetokana na mfanyakazi mmoja kujoin na sisi kutoka kabila la wahaya ambaye kidogo ni mashalaaah sasa bwana kazua zogo kuwa.

Kabila lao yaani wahaya ndio linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa. Mwingine anasema wanyakyusa ndio wanaongoza kwa kuwa na makalio makubwa mwingine anasema ndugu zetu wachaga.

Mmoja anasema kuwa wangoni ndio wa kwanza sababu wao wana genes za africa kusini ambapo huko nidio chimbuko la makalio makubwa
Mwingine anasema watu wa tanga.

Sasa nikasema ngoja niwashirikishe wenzangu wa janii forums Huu ubishi then tutapata jibu hapa so ndugu zangu naomba majibiu yenu.

C.T.U

Hakika nilingekuwa na uwezo wa Rais wa Korea ya Kaskazini, hakika wewe ni wakunyonga hadi kufa.

Au ni buku 7 nini maana akili zao huwa mapacha.
 
Hakika nilingekuwa na uwezo wa Rais wa Korea ya Kaskazini, hakika wewe ni wakunyonga hadi kufa.

Au ni buku 7 nini maana akili zao huwa mapacha.


unaleta u seriousness kwenye uzi usiokuwa serious hapo ndipo watanzania tuna reflect maisha ya mwanafunzi wa first class ambaye ni jobless...najua hujanielewa si una akili ndogo
 
Back
Top Bottom