Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,712
- 40,921
jamani sijui niweke picha au niache?
weka tuone huo mukia ya kondoo
jamani sijui niweke picha au niache?
jamani sijui niweke picha au niache?
Kwahiyo ukipata jibu hapa unataka ulifanyie nini?....
Siku hizi makabila yote yanaongoza manake mchina yupo. Huezi jua yupi asili, yupi mchina.
Lol eti mchagga ana makalio makubwa, toka lini? Miguu tu ishu.
Wamachame na wamarangu wana makalio makubwa tena kwenye hips ndo usiseme....
Wamachame na wamarangu wana makalio makubwa tena kwenye hips ndo usiseme....
weka tuone
Lol eti mchagga ana makalio makubwa, toka lini? Miguu tu ishu.
acha zako ww unawajua wachaga au ni huwa unaskia story tu