Kabila linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabila linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa Tanzania

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by C.T.U, Mar 21, 2012.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]  Kumekuwa na mabishano sana hapa kazini kuwa kuna kabila gani linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa na hii imetokana na mfanyakazi mmoja kujoin na sisi kutoka kabila la wahaya ambaye kidogo ni mashalaaah sasa bwana kazua zogo kuwa.

  Kabila lao yaani wahaya ndio linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa. Mwingine anasema wanyakyusa ndio wanaongoza kwa kuwa na makalio makubwa mwingine anasema ndugu zetu wachaga.

  Mmoja anasema kuwa wangoni ndio wa kwanza sababu wao wana genes za africa kusini ambapo huko nidio chimbuko la makalio makubwa
  Mwingine anasema watu wa tanga.

  Sasa nikasema ngoja niwashirikishe wenzangu wa janii forums Huu ubishi then tutapata jibu hapa so ndugu zangu naomba majibiu yenu.

  C.T.U
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  makalio ya kununua dukani au ya asili.
   
 3. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,337
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  Mambo gani tena haya???? hopless
   
 4. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,746
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  wanawake wa Kigoma
   
 5. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Ya asili...
   
 6. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mbona wewe unaongea pointless kwenye hopeless??
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Wahindi tena wale wekundu.
   
 8. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  wanyakyusa. kwa ufupi wanawake wa nyanda za juu kusini.
   
 9. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  nithithiiiiii babaa thaoo na thithiii mamaaa thao...tunao wathaa wothee mnaowavonaa huko...atheeeeeeeeeeee bwatheee,wapareeee wanaaa ndombolo ikibindaaa nkoiiiii
   
 10. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  kweli??
   
 11. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa
   
 12. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  I dont think so..
   
 13. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Wanyiramba
   
 14. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Weka picha
   
 15. Dasilva

  Dasilva Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Aah wahaya NOUMEEER, wakifuatiwa na WAMBURUU...
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo ukipata jibu hapa unataka ulifanyie nini?....

  Siku hizi makabila yote yanaongoza manake mchina yupo. Huezi jua yupi asili, yupi mchina.
   
 17. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Wanawake wenye kabila la kichina ambao wanatumia yale madawa ni balaa,makalio makubwa kiasi kwamba yale maperemembe yanakuwa hayana usawa
   
 18. K-killer

  K-killer Senior Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I now doubt if this is a place of great thinkers au kumeingiliwa kwa siku ya leo.Napita tuu,kwaheri.
   
 19. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hii nisubiri jibu la Bishanga, atakavyojibu namie ndy hivyohivyo.
   
 20. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  wazanzibari
   
Loading...