Kabila Langu ni Lipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabila Langu ni Lipi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IshaLubuva, Mar 25, 2010.

 1. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Katika jamii yetu ya Kiafrika imezoeleka kwamba Mwafrika akizaa na Mzungu/Mwarabu na mtoto akawa nywele na rangi vyenye mwonekano wa Kizungu/Kiarabu basi huyo huitwa Chotara.

  Swali langu ni hili, je Mrangi akimuwowa Mchaga mtoto anayezaliwa awe kabila gani? Je huyu naye siyo chotara.

  Lakini utamkuta mtu mzazi wake mmoja siyo mwafrika na yeye amefanania kwenye Uafrika lakini anajiita Mwarabu/Mzungu (kuna mmoja Shinyanga watu walikuwa wanamwita "Hakiyamungu mimi Mwarabu" -Ikimaanisha kwamba lazima aape kwa mungu wake ndo mtu ajue kwamba mzazi wake mmoja ni Mwarabu), kwa nini asijiite Mwafrika?
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hivi Warangi na/au Wachagga sio Waafrika? I did not know that before! Kwa hakika hii ni 2010!
   
 3. f

  fikrahuru Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uchotara unakuja kwa kuchanganya race, mrangi na mchagga wote ni wabantu mtoto anaweza mwenyewe kuamua kabila gani analipenda la baba au mama. kumbuka hapo zamani watu walibadili kabila kutoka moja kwenda jingine. kwa ufupi inasemekana mtemi millambo wa unyamwezi alikuwa mngoni kiasili. wachagga nao ni mchanganyiko wa makabila mengi mojawapo ni wasambaa
   
 4. vukani

  vukani JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Chotara ni mtu yeyote aliyechanganya makabila, wakati mwingine huitwa SURIAMA
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,068
  Trophy Points: 280
  Mi mwenyewe chotara wa kikristo na kipagani
   
 6. f

  fikrahuru Member

  #6
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chotara ni mtu aliyechanganya race na sio dini wala kabila. dini/kabila mtu anaweza kubadili wakati wowote. nyie vp.
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  mmh wewe Bijibuji mbona una makuu
   
 8. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Uafrika siyo kabila bali ni asili, ila kwenye thread yangu nimeongelea kuhusu matokeo ya mchanganyiko wa watu kimakabila na kiasilia.
   
 9. vukani

  vukani JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kaka tunaomba ufafanuzu kidogo hapa, hivi race kiswahili chake ni nini vile?
   
 10. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #10
  Mar 25, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Kabila lako ni mwanadamu. Usiwe na kabila lingine. Tatizo la Dunia hii ndio hilo,kwamba watu wanagawanyika kwa kufuata kabila,dini,Utaifa. Lazima tuwe na falsafa au dini ,au Chama cha Siasa,ambacho kinawaleta watu pamoja kufanya kazi kwa ushirikiano.
   
 11. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ..........Kumbe na mie chotara, nina mchanganyiko wa makabila 3 tofauti.
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wewe ni half cast sio???lol ha ha ha..
   
 13. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nadhani ulikuwa unamaanisha kuoa.

  Mtoto anatakaye zaliwa katika ndoa ya mchaga na mrangi anaweza kuwa chotara pale ambapo mzazi mmoja au wote ni machotara; either mchaga au mrangi alichanganya damu na race nyingine i.e asian, spanish au europian.
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Huku ni kuchanganya habari tu. Na huo unabii bado umeshikilia tu!
   
 15. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mie nilikiwaambia watu kama ni mtanzania wanakataa....but i still call myself mtanzania...:)
   
Loading...