Kabila gani wanahusudu pombe zaidi?

Ngoja Wahaya waje wawasikie mkisahau kuwataja na rubisi yao. Akina Ruta.. Koku.. Mganyizi mpoo?
 
nyie mtasema but % 80 ya mauzo ya bia ni mikoa ya kaskazini, kuna mpaka kipindi kampuni za bia zilitaka kufunga bomba na meter kwenye bar maarufu jinsi bia zilivyokua zinanyweka, lol.
 
mmefanya research lakini? au hata mimi naweza kutaja kabila lolote? mi nijuavyo warangi ndio kiboko ya njia
 
Kabila yangu pombe tumeipa. Jina baya, "uchi"
Na ukitambulika kuwa wewe ni mnywaji, kwenye vikao vya wazee huruhusiwi kutoa maoni !
 
Back
Top Bottom