Kabila gani wanahusudu pombe zaidi?

Hawa wanapenda sana kuchungulia walipotoka

Na pombe pia! we tembelea Masasi nyakati za Unyago uone! wanawake wanalewa kama madume! ni ile kuchungulia ndo inanogesha stimu wakishakolea! wangoni na wanyakyusa nao misibani wanakunywa sana na harusini na mwisho lazima wachungulie!
 
Wachagga, Siku unazaliwa lazima upewe kijiko kimoja cha mbege. Usisahau na mama mzazi anapewa mbege nyiiiiingi ili maziwa yatoke kwa wingi.

Changanya na zako utapata jibu mtoto anapokuwa mkubwa inakuwaje.
 
Hakuna Raia wanaohusudu damu ya MENDE kama Wachagga

kwa INTRO tu viwanda karibia vyote vya POMBE wakurugenzi watendaji ni WACHAGA...
 
wakurya vp? Wakipiga gongo zao wanazama chumvini, au wanazama uvunguni walikoficha mapanga na bunduki zao?
 
Acha zako basi musukuma na pombe wap na wap?

basi huku kwetu nyamwilolelwa watu wanaendekeza pombe... basi nkajua kuwa sisi ndio vigangwe kwa pombe... kumbe ina wenyewe lol..... nisamehe mkuu ckujuanga!!!!!
 
Back
Top Bottom