Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabila gani linaongoza kwa kutembeza ""rungu""

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 6, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,209
  Likes Received: 2,004
  Trophy Points: 280
  Msiogope ndugu zanguni niko chuo na hii ni moja ya research ninayoifanyia nahitaji kujua vitu kwenye jamii nami nikamate ka-masters jamani....nimepita sehemu tofauti nikaona idadi za wanaoongoza kwa mambo tofauti lakini kuna hili la ku0sha rungu

  kwa expr ni kabila gani linaongoza kwa kusafisha rungu jamani na si tupate muda wa kwenda kuwafanyia research wajukuu zenu wapate kwenda chuo tunashukuru kwa msaada wenu
   
 2. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 581
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wachaga na Wahaya
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,209
  Likes Received: 2,004
  Trophy Points: 280

  heeee heee hao wachaga unawaone masemeji zangu kwa kweli wakati mwigne hata ukiwainamishia awaoni kabisa sasa sijui wanaongoza
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,435
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wazaramo(wake kwa waume) hasa ngomani!!
   
 5. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,435
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Boldi: hasa kwa wakwe zao... eti mke anapeleka watoto kutambika kijijini kwa wazee... akirudi kwako na mimba ya mkwewe!!:disapointed:
   
 6. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 581
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nilitaka kumjibu,kwa bahati wenye data mpo wengi na tayari jibu analo!Hao jamaa,mume yupo Dar mke kwa mzee Shirima marangu mtoni,baada ya mwaka 1 anajifungua mtoto eti wanadai 'Masawe anatoa mbegu nzuri mno,yupo Dar mtoto kafanana sana na mzee Shirima Yesuu na Maria'
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,209
  Likes Received: 2,004
  Trophy Points: 280
  uanaamaaanisha na wangu alienda miezi sita nikapime DNA ...EMBU SEMA TENA NDUGU YANGU
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,449
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Wahaya zaidi ya Kate****** hamna kitu. Wachaga, mhhhh hebu waone walivyo busy kusaka hela, atapata wapi muda wa kutembeza kirungu kwa saana? Pia wengi ni afya mbaya kwa unene sana au wembamba sana. Miwngine ilibidi apate kwanza Redbull na pombe kali na akawa nzi mfia kenye kidonda.

  Wanyamwezi bwana weee, mke mmoja mwenyewe ataomba msaada wa mke wa pili na wa tatu ikibidi.
  Halafu unakuta jamaa anatoka kwenda ngomani na kufukuza mwanamke kwenye chagulaga.

  Wanafuata kwa kwa karibu Wamasaai. Wagogo na Wahehe hawana Afya. Wanyakyusa wamekalia SIASA ZA MAKUNDI.
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,209
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Hicho chuo ni cha mafunzo ya Ngono or ?
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,209
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  naona mwamba Ngoma ngozi huvutia kwake..nimetafuta kidude ya Thanx ila sijui invisible kakitoa ..
   
 11. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 5,045
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  tusiwasahau na wangoni

  bora umpe pesa za zitafika ila umpe mtoto wa kike lazima atamfikisha akiwa ameshasaini mbunyeni
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,449
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Hahahaaa, kweli tupu FL1. Labda tu ukweli unauma maana nyie wa Kusini kama sijakosea, ulanzi umewaharibu. Sasa afya itatoka wapi? Hebu angalia data za mwaka 2000 zinavyosema:
  - Wahehe est. 750,000
  - Wandengereko est. 110,000
  - Wazaramo est. 656,000
  - Wadigo Est. 88,000 (Tanzania, 300,000 Kenya)
  - Wairaqw Est. 462,000
  - Waluguru Est. 692,000
  - Wazanaki est. 62,000
  - Wakwere est. 98000

  - Wasukuma est. 3,200,000 (kabila kubwa zaidi)
  - Nyamwezi est. 2,000,000 (kabila la pili kwa ukubwa likifunganga na Wachagga) ni ndugu za wasukuma
  - Wagogo Est. 1,300,000 (Wanawazidi Wanyakyusa kidogo kwa wingi)
  - Wamakonde est. 1,100,000
  - Wapare est. 1,000,000
  From: https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/1867-ukabila-ikulu-ujenzi-mambo-ya-nje-mipango-tra-bot-ofisi-nyeti-za-serikali-51.html
   
 13. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wachaga jamani ni balaa tuache utani!
   
 14. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 723
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hakuna reseach ya namna hiyo bana, wala huwezi kuchukulia tabia ya watu kumi aua zaidi ndiyo useme ni kabila lote, kila binadamu ana tabia yake.
   
 15. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Msambaa bwana Pesa atafikisha ila mke hamfikishi asilani.
   
 16. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,636
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hili ndilo jibu
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,209
  Likes Received: 2,004
  Trophy Points: 280

  umeoooooooooooonnnnnnnnnnnnnnnnnaaaaaaaaaaaa eeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhh
   
 18. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Unamaanisha frequency au ile sanaa yenyewe ya usafishaji rungu?
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,279
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hehehehe!
  wachaga tena wa RHOMBO!....
   
 20. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 423
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 80
  wahaya (a.k.a. Bwengas)
   
Loading...