Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,136
JAMANI kama mjuavyo vijana wa JF wameanza na moto wa kuoa kwa kuoana
so si mbaya ni vyema wakiwa na familia wakawa wamepaata ka background fulani
cha familia anayoenda kuikwaa.....
Leo hii naomba tuanze na kabila Gani wanaongoza kuachwa ama kuachika then na nyie mnaoenda kuoa mjue mtaanzaje sisemi tuwaache la hasha kama ndie wako mupenzi nawe jaribu kutafuta soln mapema
nini chanzo cha kuwaacha ..yawezekana ni mambo madogo tu yawezekana ni ngumi za usoni kidogo unataka kula kona kwenye ndoa hapana..vumilia ila kabla ya ndoa jua unaoa ama kuolewa na nani
naweza kukaa nae muda gani..usinshangae unaolewa na mtu wa mara anakupiga unakimbia uo ni ujinga kwao ngumi makofi ni upendo ulioje so chungulia uko wapi
Kila la kheri