ngome1838
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 2,029
- 2,471
Na wamasaihahahahahahaha nmekubaly wadigo oyeee
Na wamasaihahahahahahaha nmekubaly wadigo oyeee
Na wamasai
Nishawai kuulizwa swali na manzi"wala kwanza au waoga kwanza"
Sasa sijui ni lahfidh gani.
Daah sijawahi fika tanga mjini aisee, iltabidi nifanye mpango niende niakaenjoy kidogo na hizo lafudhiWadigo wa kike hatari sana shikomoni wote wana wake wa kidigo, sio mjini au kijijini wote wapo vizuri,nitaludi tena siku nyingine.
Wanapatikana mkoa ganiWanyamwanga
Songwe, mpakani na ZambiaWanapatikana mkoa gani
Wazanzibari kwa upande wa pemba hasa wanawake!! Mmh wanaongea utamuuuWadigo hao...na hata wanzazibar huongea hivyo
Bora wanyiha kuliko lafudhi ya wanyamwangaWanyamwanga
Wazanzibari kwa upande wa pemba hasa wanawake!! Mmh wanaongea utamuuu
Nshakufaham, hamna 'u' mwishoniNaam, nadhani ushanfahamu