kajembejr
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,289
- 1,313
Wakurya Bwana!!Sasa umkute anasema Tumefiwa,atasema Tumefir..waWakurya
Wakurya Bwana!!Sasa umkute anasema Tumefiwa,atasema Tumefir..waWakurya
Wakurya Bwana!!Sasa umkute anasema Tumefiwa,atasema Tumefir..wa
Wasukuma na wamasai nyie ni nyara zetu Serekali iwajengee ukuta tu kama mererani wakenyenya wasiwaibe. Bila nyie maisha yatakua magumu sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka kwa hasira hahahaa...
Mhhh....!!!!!!!!! Yakweli haya?Wasukuma wana lafudhi nzuri sana na tone nzuri. Tone ya matumaini!
Wachaga lugha ya kusifia au kuponda wapo vizuri sana. Wanajua Ku exaggerate has a.....usipokuwa makini unaingizwa mkenge!
Hata tungekuwa hatutajwi ukweli ni kwamba lafudhi yetu ni njema sana.Duuh!! Bro Relief Mirzska naona mpaka sasa watu wa kule vyeru, Mtimbwani, Duga, Mayomboni na kwengineko wanashikilia usukani.
Hahahahaa. LolHata tungekuwa hatutajwi ukweli ni kwamba lafudhi yetu ni njema sana.
Inaweza kupatia mke/mume kiulaini kabisa
Au nimesema uongo ndugu yangu???Hahahahaa. Lol
Kaka naona umeua.
😀😀 Hujaongopa Kaka.Au nimesema uongo ndugu yangu???
HaaaaaahaaaaUkisikia sauti zinazo mtoa nyoka pangoni ndio hizo
🙄🙄🤨Msikilize mama samia anaongea vizuri hadi raha...
Labda enzi za mwendazakeWasukuma wana lafudhi nzuri sana na tone nzuri. Tone ya matumaini!
Kama lafudhi ya mama yetu Mh. Rais (isomwe Raisi) Samia Suluhu kwakweli haichushi ni nzuri mno.sijui kabila.