Kabila gani lina lafudhi nzuri ya Kiswahili Tanzania?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000
Niliwahi kusikia Wamanyema wa Ujiji na kule Tanga mjini, Lindi na Pwani ila siku hizi Watanzania wengi wanaongea Kiswahili chenye lafudhi nzuri sana ukiondoa wale walioshindikana kwenye “l” “r” “ng’” na “ng’”
 

akyo

Member
May 6, 2017
11
45
Hakuna lafudhi nzuri au mbaya,ubaya au uzuri wa kafudhi unatokana na tafsiri ya msikilizaji.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom