Salaam aleykum!
Wapendwa naomba mnijuze, mme wangu kila akisafiri anafunga kabati lake la nguo hii inaashiria nn? kipindi cha nyuma nilikuwa nampangia nguo zake baada ya kizinyoosha nikakuta kanga na haikuwa ya kwangu, nilimuuliza sikupata jibu la kueleweka.
Siku iliyofuata akafunga kabisa na kuondoka na funguo kw bahati mbaya nilikuwa sijamaliza kunyoosha nguo zote hivo nilipomaliza nafungua kabati limefungwa nikaweka nguo ktk kabati yangu mpk jioni alivorudi nikampatia nguo zake, j2 nilikuwa nafanya usafi wa nguo zake nimeshazinyoosha naenda kufungua kabati lake nakuta kafunga na hayupo nchini na atakaa huko km 1 month hivi jamani nimuelewe vp au ni kawaida kwa wanaume kufunga makabati? au anaficha nn? hii inanipa mawazo naona mnieleweshe