Kaaaazi kwelikweli!!

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
0
Jamaa mmoja baada ya kuhangaika sana na kabinti fulani hatimaye akakapata na kukachapa nao. Alifurahi sana baada ya kumkuta binti yule bado alikuwa bikila. Akakaa kando ya kitanda na kumsifia kwa uaminifu wake. Yule binti akajibu kwa kusema asante kisha akamwambia: ''pamoja na hiyo sifa uliyonipa lakini umeniharibia maisha yangu kwa vile mimi ni mtoto yatima ninayeishi na virusi vya ukimwi tangu kuzaliwa kwangu, je nikipata mimba itakuwaje?'' Jamaa alipiga pekupeku!
 

shegaboy

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
213
0
Ahh! jamaa bila shaka alidata hapo hapo kwahiyo ngoma imeingia kwakwe kula si kula ila unakula nini ndio tatizo
 

sakapal

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,806
2,000
mmmh ulevi nooma yaani hata ulevi wa kupenda chini ni noma mara mbili pole kijana
 

deadteja

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
379
225
Kama mzee kaikuta b*kra poa tu, kwani kuna wa kuishi milele bana? Siku hizi mpaka vigori mseleleko tu. Hilo ndo zali la mentali.
 

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,315
1,225
sa kwann hakutumia ndomu au kwa vile kitu kilikua sealed mshtuko mwingine unaweza upata kitu kisisimame tena hadi unadanji
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom