U Ubungo JF-Expert Member Apr 7, 2012 1,260 297 Dec 7, 2012 #3 Kweli tutamwisha wabaki wenyewe sijui watamfanyia nani vituko.
S sawabho JF-Expert Member Feb 25, 2011 5,286 3,107 Dec 7, 2012 #9 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Kufa ungekufa tu siku yako ikifika, lakini ukiendekeza vitu kama hivi, utakufa siku si zako. Sasa kwa nini usikumbuke kutumia c.o.n.d.o.m ?
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Kufa ungekufa tu siku yako ikifika, lakini ukiendekeza vitu kama hivi, utakufa siku si zako. Sasa kwa nini usikumbuke kutumia c.o.n.d.o.m ?
englibertm JF-Expert Member May 1, 2009 9,252 6,207 Dec 7, 2012 #11 Biashara matangazo bwana vigezo na mashart kuzingatiwa.