Kaa na mpenzi wako kabla ya ndoa ni muhimu mnoo

heh, zile zilikuwa na makashkash juzi juzi?

Njoo basi uzitazame, ntamtuma dereva wangu King'asti aje kukupokea na kukupeleka upendapo.

Mie pafyumu tu itanitosha

Nyumba ya Mbezi beach iliponea kuvunjwa nilikuwa na wakati mgumu.
 
Last edited by a moderator:
aha hahahah..kongosho wanivunja mbavu kwa cheko ..Natalia mi ntakuwa pande hizo x-mas time..naomba tuonane best maana nakupenda muno
 
Daaaaah
this is Natalia hapana chezea yeye!
Tuna nyumba NY ,Maine Rangeley (cabin ) ,Ct(tunaishi gulford) .our permanent home Manhattan NY.mume wangu anapractice Ny ,NJ.summer maine,winter Ct,spring NY
 
Kwa hiyo mnapangisha au wana kaa ndugu zako?

Rutta,Maine ni Kama Urusi baridi especially Rangeley where our cabin is .tunafungua nyumba summer all
What we do is fishing hunting eat no phone no Internet we go there summer .NY my husband practices here it's a condo we come and go shopping .CTmy inlaws lives here na watoto wangu wanaenda shule hapa.
 
Back
Top Bottom