Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,603
- 29,743
Hehehe ndo inavyokuwa kwa mtazamo rahisi.Association of Jamii Furum Members (AJFM) mnakutana lini?
Agenda za umoja wenu ni nini?
Maslahi ya Ajira zenu za kuteuliwa?
Jinsi ya kumfurahisha aliewateua?
Au ni jinsi gani mnaweza kufanya kazi vizuri kwa maslahi ya wananchi ambao wanampinga aliewateua??
Kwa kweli ajira zenu ni ngumu alizima muunde umoja, mshirikiane,
Ujinga wetu wa kutawaliwa na wakoloni tumeuhamishia kwa wakoloni weusi