K - Lyn ni mtu wa ku -spend ama kutafuta maisha?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,292
33,902
Mzee Reginald Mengi ndiyo keshaondoka duniani na Mke wake Jacqueline Ntuyabaliwe kabakia kutunza familia yao.

Kwa kufuatilia Maisha yake baada ya kuolewa na Mzee Mengi nimebaki na swali kama Jacqueline ataweza kutunza hali ya ufanyabiashara na matumizi ya Fursa aliyokuwa nayo Mzee Mengi.

Hapa ndipo tutaona zaidi ya Uzuri wa kimaumbile wasichana warembo wa Tanzania wana nini kingine cha ziada. Kama matumizi yakizidi mapato basi si muda Magazeti ya udaku ndiyo yatakuwa chanzo cha Mapato kwa Jacqueline.

Maisha baada ya Kifo cha Mzee Mengi ndiyo yatatoa picha halisi kama Jacqueline ni mtu wa kula bata ama ni mtafutaji maisha!!
 
Mkuu believe huyu atakuchukuliwa na mabosire wengine wenye pesa
 
Mzee Reginald Mengi ndiyo keshaondoka duniani na Mke wake Jacqueline Ntuyabaliwe kabakia kutunza familia yao.

Kwa kufuatilia Maisha yake baada ya kuolewa na Mzee Mengi nimebaki na swali kama Jacqueline ataweza kutunza hali ya ufanyabiashara na matumizi ya Fursa aliyokuwa nayo Mzee Mengi.

Hapa ndipo tutaona zaidi ya Uzuri wa kimaumbile wasichana warembo wa Tanzania wana nini kingine cha ziada. Kama matumizi yakizidi mapato basi si muda Magazeti ya udaku ndiyo yatakuwa chanzo cha Mapato kwa Jacqueline.

Maisha baada ya Kifo cha Mzee Mengi ndiyo yatatoa picha halisi kama Jacqueline ni mtu wa kula bata ama ni mtafutaji maisha!!
Du hawezi kumsahau mzee Mengi, kupelekwa Paris na Dubai shopping.
Nyie binadamu mwcheni dada wa watu ..mnatafuta laana kwa kila namna..embu muacheni amzike mume wake hamna haya
 
Yeye mwenyewe amewekeza kwenye nini cha kumfanya awe mleta hela na si mtumia hela? Ama ndiyo ugomvi na kina Regina ndiyo utaanzia hapo?

Jamii ni social judges,ukiolewa na mtu mzee..

.akafariki uko guilty!....ndivyo ilivyo,

the same kwa wasioolewa,waliozalia nyumbani et

c...…………………………...tunawa label na kuona kama second class citizens hawapaswi kuwa na sauti…

.ila akina Regina no mater how ndoa ya baba yenu iliwaumiza,amezaa na baba yenu,wale ni wadogo zenu...na msiunderestimate the happiness Jack brought to your dad,even though it was short lived...
 
Mzee Reginald Mengi ndiyo keshaondoka duniani na Mke wake Jacqueline Ntuyabaliwe kabakia kutunza familia yao.

Kwa kufuatilia Maisha yake baada ya kuolewa na Mzee Mengi nimebaki na swali kama Jacqueline ataweza kutunza hali ya ufanyabiashara na matumizi ya Fursa aliyokuwa nayo Mzee Mengi.

Hapa ndipo tutaona zaidi ya Uzuri wa kimaumbile wasichana warembo wa Tanzania wana nini kingine cha ziada. Kama matumizi yakizidi mapato basi si muda Magazeti ya udaku ndiyo yatakuwa chanzo cha Mapato kwa Jacqueline.

Maisha baada ya Kifo cha Mzee Mengi ndiyo yatatoa picha halisi kama Jacqueline ni mtu wa kula bata ama ni mtafutaji maisha!!
Atatafuta Bwana Mwingine,waendeleze alivyorithi.
 
Hapa ndipo napata shida. Nakumbuka enzi za Wema Sepetu na nyumba yake yenye vitu vya thamani ya shilingi milioni 100. hatujui nini kilitokea kwa ile nyumba na vile vitu.

Kuna tatizo kwenye jamii yetu hasa kwa watu maarufu. Hela ya kutumia huwa inahitaji hela inayozalishwa ili maisha yabaki vile vile.

Leo watu wanamsimanga Ray C kwa kuwa yeye mwenyewe hakuwekeza. Atapata bwana mwingine jee naye atakuwa na Ukwasi kama Mzee Mengi?
 
Ulimwengu ndivyo ulivyo!!
1089819

Hili jicho la mama Salma says alot.
 
Hapa ndipo napata shida. Nakumbuka enzi za Wema Sepetu na nyumba yake yenye vitu vya thamani ya shilingi milioni 100. hatujui nini kilitokea kwa ile nyumba na vile vitu.

Kuna tatizo kwenye jamii yetu hasa kwa watu maarufu. Hela ya kutumia huwa inahitaji hela inayozalishwa ili maisha yabaki vile vile.

Leo watu wanamsimanga Ray C kwa kuwa yeye mwenyewe hakuwekeza. Atapata bwana mwingine jee naye atakuwa na Ukwasi kama Mzee Mengi?
Kwa pesa aliyonayo wala hahitaji bwana mwenye ukwasi,sasa anahitaji Bwana mwenye vision na mwenye akili ili kuendeleza walichoachiwa. Sasa apunguze kuspend. Maana mtu anaetafuta pesa hawezi kutoka Zanzibar,ndani ya week anakweda tena Dubai kuspend.
 
Kwa staili hiyo ya Maisha ni lazima udange hakuna namna. Kuna wasichana wanavaa nguo za mamilioni ya shilingi lakini vichwani hawana hata mpango mmoja wa kutafuta hela zaidi ya kutegemea miili yao kama kitega uchumi.
Nilikua kazini, nilikutana na mama mmoja yeye ni cleaner. Alinieleza kesho yuko off, nikamuuliza umepanga kuitumiaje off yako. Alinijibu nitalala nikiamka nisafishe nyumba. Mimi nilimjibu kama jua linatoka mimi ninapenda kutembea madukani. Alinijibu yeye huenda madukani akihitaji kununua kitu. Aliendelea kuwa kama huna plan na hela uatajza mavitu wakati nyumba na gari huna.
 
Back
Top Bottom