K,i,l inailipa jiji milion 2.5 kwa mwezi makusanyo ya ubungo ni halali?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

K,i,l inailipa jiji milion 2.5 kwa mwezi makusanyo ya ubungo ni halali??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 30, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Kana kwamba nahisi uchafu unazidi kuiandama jjiji la dar habari zilizotufikia zinasema
  kampuni ilioshinda zabuni ya tenda ya kukusanya mapato ya stend ya ubungo inalipa jiji sh milion2.5 najiuliza tumemwondoa wa milion1.5 na sasa
  tumedanganywa na makusanyo ya milion moja zaidi kweli atanzania tutafika kweli???
  Hao ndio wanajiita konsaad investiment ltd humo ndan lazimakuna mkono wa mtu na hivyo
  pinda kuonekana hana akili na kelele zake alizokuwa akipigaa hadharan

  mungu tusaidie
   
Loading...