JWTZ yaombwa kuchukua hatua haraka baada ya Serikali mkoani Kilimanjaro kushidwa kurekebisha daraja mto Rau siku ya tatu leo

Serikali mkoa wa Kilimanjaro,imeshindwa kurekebisha daraja lililosombwa na maji,na kuacha maelfu ya watu wakikosa huduma za msingi!

Daraja hilo limesombwa na maji,baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha pia mafuriko kwa wakazi wa moshi!

Wito: wananchi wanaloomba JWTZ LICHUKUE HATUA kwa kuweka daraja la muda

Kama wewe ni mchaga wa Uru,marangu,machame,kibosho,kilima,rombo,kirua,mwika etc

Jiunge na group letu la watsup,kujionea hali halisi ya moshi kwa sasa hali,sio hali
URU,MACHAME,KBOSHO,MARANG

Ulivyosema Daraja la Mto Rau nikajua hili linalounganisha Majengo na KDC.

Kumbe ni huko Kwamtei, poleni sana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom