Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,330
- 15,120
Baaaaaaaaaaaaasi imekwisha.Mafisadi na mataahira km wewe..!!
Baaaaaaaaaaaaasi imekwisha.Mafisadi na mataahira km wewe..!!
Mnufaika mwingine wa ufisadi huyu huyu hapa anapush handleHakuna maandamano yasiyokuwa na kiongozi, agenda wala muda maalum.
Huo ni uvunjifu wa amani.
Washughulikiwe.
Utulizaji wa ghasia ndani ya nchi ni kazi ya jeshi la JWTZ? Haya ndiyo madhara ya kusiasisha vyombo vya ulinzi.Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaohusika na vitendo hivyo.
Katika taarifa yake kwa umma, JWTZ imesema kuwa ina jukumu la kulinda usalama wa nchi na wananchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 pamoja na Sheria ya Ulinzi wa Taifa Sura ya 192.
Jeshi hilo limeeleza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kukabiliana na matukio yoyote ya vurugu, ghasia na uvunjifu wa amani.
Aidha, wananchi wamehimizwa kutoa taarifa kwa viongozi wa vijiji, mitaa na vyombo vya ulinzi na usalama kuhusu viashiria vya uchochezi ili kudumisha utulivu nchini.
JWTZ pia limewahakikishia wananchi kuwa litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda mipaka, Katiba na mamlaka ya nchi sambamba na kushirikiana na wananchi katika kuimarisha amani, umoja na maendeleo ya taifa.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Kanali Sylvester Mangure.
Watoe mbinu ili wanajeshi wajipange, inatakiwa itoke ghafla bin Vuu tu😂Gen Z na Watanzania kwa ujumla sijui mnausoma mchezo kwa akili ya upembuzi??
Zamani kidogo, wakisikia maandamano walikuwa wanachimba mikwara kwa kutuma WANAJESHI NA POLISI KUFAGIA NA KUFANYA USAFI.
Kabla ya Mo29 strategy yao ya intimidation ilikuwa VIONGOZI KUTOA MATAMKO NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUFANYA MAZOEZI YA PAMOJA.
Kuelekea D9, POLISI NA WANAJESHI KUMWAGWA NA KUSAMBAZWA MITAANI.
Kuelekea 7/7 JESHI KUTOA TAMKO NA VITISHO.
Gen Z hamuoni tunashinda taratibu?????
Tuendelee kuwasoma mbinu zao mpaka mwisho wa siku tutawabananisha tu.
Tatizo naona hata hao wnaoratibu na kuhamasisha haya maandamano nao HAWANA AKILI. Wao wanachojua ni kuhamasisha maandamano, hawatoi taarifa za kiintelijensia, hawatoi mwongozo wa nini kifanyike wala hawatoi mbinu za kukabiliana na adui