JWTZ sasa wako huru kupigia mgombea wanayemtaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JWTZ sasa wako huru kupigia mgombea wanayemtaka

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lucchese DeCavalcante, Oct 24, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Jana nipata wasaa wa kuongea na marafiki zako walipoko moja ya kambi za jeshi hapa Dar na wakabainisha wazi kuwa mwaka huu wamefurahi sana kwa vituo vya kura kuwa uraiani tofati na chaguzi zilizopita ambao vitu vya kupigia kura vilikuwa ndani ya jeshi. Walisema chaguzi zilizopita kulikuwa na afisa wa jeshi kila kituo aliyewasimamia na kuwaamuru kuwapigia wagombea wa CCM na walitii ila mwaka huu vituo viko nje ya makambi kwa hiyo watakuwa huru kumpigia mgombea wanayemtaka... Naye ni..........
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ni mapinduzi mazuri
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi saaaanaaaa, ngoja nitafute kijikadi changu
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ubabe wa kijeshi jeshi wa JK unakaribia ukingoni sasa
   
 5. e

  emalau JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,177
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Jenerali Shimbo anasemaje juu ya hili?
   
 6. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Majeshi yote (JWTZ, JKT, Magereza, Polisi, Uhamiaji na Mgambo) yamepewa standing oedr kumpigia JK na CCM pia wawahimize wanafamilia wao pamoja na ndugu na jamaa zao hii ni kwa mujibu wa rafiki yangu anayefanya kazi katika moja ya majeshi hapa nchini
   
 7. d

  dotto JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwamba ukishapiga inakaguliwa kura yako au??. na habari ya MNYUKUZI feki au!! fafanua!!
   
Loading...