JWTZ nawakubali sana kwenye hii vita ya Corona hawa jamaa wakisimama wao kwenye baadhi ya maeneo Corona itapigwa vibaya sana

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari Wana JF,

Ni matumaini yangu mu wazima wa afya na bado tunaendelea na harakati za kupambana na adui yetu Corona kwa kudhingatia ushauri wa wataaramu.

Kwanza baina ya yote nitoe pongezi kwa majeshi yetu ya ulinzi na usalama nchini kwa juhudi za kulilnda na kulitetea Taifa letu.

Lakini mbali ya yote ni toe pongezi kubwa kwa jeshi la JWTZ na JKT hawa kwa siku hizi wamekuwa na mchango mkubwa sana kwa Taifa na wananchi tumekuwa na imani nao sana kwa 200% hawajawai kutuangusha, ili jeshi limekuwa lakujivunia kwa kweli.

Vita dhidi ya Corona ni ya waTanzania wote lakini binafsi nina mtazamo kama hili jeshi JWTZ na JKT wakaongoza haya mapambano hususa kule maeneo ya mipakani tutafanikiwa sana kuzuia wahamiajai haramu ambao wanaweza kuja kueneza maambukizi, katika mipaka kumekuwa na baadhi ya raia sio wazalendo wanaweza tumia hata bodaboda au lori kusafirisha wageni kuingia kiholela, ila mbele ya baka baka nani hatasubutu ujinga huo.

Huko Uganda kuna kesi za Wachina kutumia Martial Arts kusepa karantini ila mbele ya wajeda Mchina lazima akae na vi Kung Fu vyake.

Mwisho nimalizie kwa kusema JWTZ na JKT hawaongeki hata kwa vipande vya dhahabu.
 
yaani akili yako ndio imekomea hapa?kazi ipo
 
China ina jeshi imara, teknolojia na uwezo mkubwa wa kisayansi sawa na USA na Italy na bado wamegegedwa na COVID-19.

Hili alihitaji nguvu au mabavu mkuu.....
Wamegegedwa na Corona na naona Kuna kuliwa kimasihara na kirusi hanta
 
Back
Top Bottom