Afande Tanzania
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 460
- 1,169
Tunatazama tupo wangapi tunaomuelewa Lissu, tukiwa wengi tunawageuka wenzetu tunaungana na raia tunaamini sections zingine huko zilipo zitatuunga mkono, dikteta anatoka madarakani, hivyo yaniπππ umefafanua lakini bado kuna utata...bado tu najiuliza Askari au mwanajeshi akapiga kura alafu akatangazwa magufuli mshindi wakati yeye (polisi au mwanajeshi) alimpigia Lissu, then kukatokea vurugu wao wakatumwa wakazime zile vurugu huoni kuwa kunaweza kuwa na uasi hapo hata na wao wakaungana na waandamanaji ?