JWTZ lakabidhiwa jukumu la Ulinzi wa Bandari ya Dsm

Kamarada

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
253
161
Amani iwe kwenu Wakuu..!
Nimepenyezewa na mpashaji mmoja kuwa kuanzia leo trh 07 Dec 2015 Serikari imekabidhi jukumu la ulinzi wa Bandari ya Dsm kwa JWTZ, na kuwa tayari vijana hao wazalendo wamekalia maeneo nyeti. Plz, kwa yeyote aliyekaribu na maeneo hayo au chanzo huru kinachoweza kututhibitishia taarifa hizi atuwekee janvini.

#JPM ALIPO TUPO#
 
Hata kama akabidhiwe nani ni bure tu kwenye mfumo wa chama cha mapinduzi.magufuli asitufanye sisi watoto wadogo
 
Hii ni hatari!! lakini poa tu coz Nchi ipo kwenye ukombozi!!
Wale wapuuzi wa TRA &TPA walituweka sana mifukoni so hawaaminiki tena wote wananuka uhujumu uchumi.
 
Duu...sasa ikitokea hao wazee wa 6 week
wakubwa wao ndo wamepiga , nani ataenda
kuwakamata..? IGP..? nani ataenda kukagua mali zao.?
 
Amani iwe kwenu Wakuu..!
Nimepenyezewa na mpashaji mmoja kuwa kuanzia leo trh 07 Dec 2015 Serikari imekabidhi jukumu la ulinzi wa Bandari ya Dsm kwa JWTZ, na kuwa tayari vijana hao wazalendo wamekalia maeneo nyeti. Plz, kwa yeyote aliyekaribu na maeneo hayo au chanzo huru kinachoweza kututhibitishia taarifa hizi atuwekee janvini.

#JPM ALIPO TUPO#

Hakuna kitu kama hicho hizo ni story za ferry
 
Duu...sasa ikitokea hao wazee wa 6 week
wakubwa wao ndo wamepiga , nani ataenda
kuwakamata..? IGP..? nani ataenda kukagua mali zao.?

Kama ni kweli, binafsi siungi mkono hii. Jamaa ni watiifu sana kwa wakubwa zao! Ingawa wakubwa wa jeshi wana maadili, ila wakiamua kupitisha mzigo, watapitisha kiulaini tu!
 
amani iwe kwenu wakuu..!
Nimepenyezewa na mpashaji mmoja kuwa kuanzia leo trh 07 dec 2015 serikari imekabidhi jukumu la ulinzi wa bandari ya dsm kwa jwtz, na kuwa tayari vijana hao wazalendo wamekalia maeneo nyeti. Plz, kwa yeyote aliyekaribu na maeneo hayo au chanzo huru kinachoweza kututhibitishia taarifa hizi atuwekee janvini.

#jpm alipo tupo#
mbona si jambo. Jipya kwanza tumechelewa sana nauliza mbona znz.inalindwa.na wanajeshi miaka yote ile bandari kuna nn..
 
Jkt wanalinda vivuko long time kama kule mwanza na nguo zao nyeupe kama madaktar
 
Back
Top Bottom