JWTZ kwanini hawatangazi ajira kwa graduates?

gasscan

Member
Dec 3, 2014
39
7
Wanajamii wenzangu inasikitisha sana kuona hadi sasa JWTZ hawajatangaza nafas za magradutes wakati vikosi vyote tayari.

Ukiuliza utaskia wanachukua JKT. Je jeshi halihitaji wasomi au?
 
wana jamii wenzangu inasikitisha sana kuona hadi sasa JWTZ hawajatangaza nafas za magradutes hadi mda huu wakt vikos vyote tyar, ukiuliza utaskia wanachkua JKT, je jeshi halitaj wasomi au?

kwli kk mtaani kugum na shule ndo tushamaliza
 
Wasomi hao hao ikitokea vita au misheni ya kivita wana kataa kwenda Au wanakimbia. Sasa katika kutibu Hilo wale graduate wote wanapitia jkt kwanza wanalima kwa jembe la mkono kwanza mpaka wanachanganyikiwa akili then Ndiyo baadae wanafanya usaili wa jwtz.sasa wewe subiria mteremko wa moja Kwa moja kama utapata.wanao jua wanapitia jkt huko huko baadae ndiyo wanakuja kuajiriwa na jwtz.wewe endelea kusubiri tu mpaka yesu atakapo rudi.
 
tehtehteh mkuu iyo akili ikitoka ndo kutakua na kax apo, istoshe why ulime wkt umesota miaka 3, ktk ktafta elimu, xx ni wakt wa kupewa special chance kw graduate ukizingatia wkt wa wasomi xaiv
 
Hiii ndo basic, lazima upitie uzalendo. Upigwe para uvae petishot , baadae kidgo tumikie ukuruta
 
watakuchkua ww tu muhanga mkubwa wa ajira

Nenda kwa lengo la kulitumikia jeshi lako, ila ukienda kwa lengo la ajira unaeza shindwa fungua moyo na kukimbia mafunzon. Wanaokimbia sio kwamba lele wote bali ni kuon wanateseka na kukosa uvumilivu.
 
tehtehteh mkuu iyo akili ikitoka ndo kutakua na kax apo, istoshe why ulime wkt umesota miaka 3, ktk ktafta elimu, xx ni wakt wa kupewa special chance kw graduate ukizingatia wkt wa wasomi xaiv

Jeshini ni nguvu nyingi akili kisoda we ukija na elimu yako kwanza tunaitoa uthamani ujione elimu yako Si lolote wala chochote then unaongozwa na darasa la Saba kwa muda baadae ndiyo unapewa madaraka ili usije ukatukimbia vitani na fani yako ya uhasibu au udaktari.
 
tehtehteh mkuu iyo akili ikitoka ndo kutakua na kax apo, istoshe why ulime wkt umesota miaka 3, ktk ktafta elimu, xx ni wakt wa kupewa special chance kw graduate ukizingatia wkt wa wasomi xaiv

Hivi umegundua kuwa kadiri mtz anavyosoma ndyo pesa inakaa mbali naye? Ukizugwa na vyeti vyako utapoteza muda sana na utakuja kuhamaki muda umekutupa mkono. Kaa ungoje waite wasomi😂😂😂
 
Kwaiyo kama umesota miaka 3 huwezi kulima? Hongera sana MSOMI
 
tehtehteh mkuu iyo akili ikitoka ndo kutakua na kax apo, istoshe why ulime wkt umesota miaka 3, ktk ktafta elimu, xx ni wakt wa kupewa special chance kw graduate ukizingatia wkt wa wasomi xaiv

xxx zina maana gani?acha ujinga na uvivu wa kufikiri kuwa unachoandiki ni kiswahili fasaha wakati unaharibu lugha yetu.
 
tehtehteh mkuu iyo akili ikitoka ndo kutakua na kax apo, istoshe why ulime wkt umesota miaka 3, ktk ktafta elimu, xx ni wakt wa kupewa special chance kw graduate ukizingatia wkt wa wasomi xaiv

Mkuu hii ni lugha gani ulio tumia?
 
Hivi umegundua kuwa kadiri mtz anavyosoma ndyo pesa inakaa mbali naye? Ukizugwa na vyeti vyako utapoteza muda sana na utakuja kuhamaki muda umekutupa mkono. Kaa ungoje waite wasomi😂😂😂

Ni kweli mkuu umenigusa sana, nimegundua hapa Tz ukimaliza form four au ukipiga cheti ndo muda wa kutoka lakin ukisoma eti mpaka uwe na degree unakwisha kabisa. Jamaa niliomaliza nao form four wengine walienda kwenye majeshi, wengine kwenye ualimu, unesi, musitu, ndo wapo wanapiga mpunga sasa hiv lakin mimi niliyepongezwa kijijin eti nimeenda advanced level nipo tu kitaa sina hili wala lile ninaogopa hadi kurudi kijijini na umri ndo huo unasepa. Inauma sana aisee.
 
Ukipata ajira uta-compensate gap la mafanikio la miaka 8 kwa miaka 3 tu. Thamini elimu yako.
 
Back
Top Bottom