JWTZ kufanya msako katika misitu iliyopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kikosi cha Kusini cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimesema kitafanya msako katika misitu ya mikoa inayopakana na Msumbiji

Kiongozi wa zoezi hilo amewataka wote waliopo katika misitu mikoani Lindi, Mtwara na Ruvuma kuondoka mara moja kupisha operesheni hiyo

Amesema wataanzia Ruvuma na kisha kwenda Lindi kwa sababu kuna watu wanaofanya vitendo vya kihalifu ndani ya misitu hiyo

Mwezi Mei mwaka huu Serikali ilisema itapeleka vikosi mpakani kuimarisha usalama kufuatia shambulio lililotokea eneo la Cabo Delgado, Kaskazini mwa Msumbiji

===

The Tanzania Peoples Defence Forces Southern Brigade has said they are going to launch a manhunt in the forests in regions that border Mozambique.

The Tanzania Peoples Defence Forces Southern Brigade has said they are going to launch a manhunt in the forests in regions that border Mozambique.

Speaking shortly after arrival at Luagala Village, Mbinga District, Ruvuma where they are conducting military exercises, the head of the operations said whoever was within those forests in Lindi, Mtwara and Ruvuma should leave with immediate effect to give way for the operations.

“There are criminals in these forests and we have come here to work. We shall start with Ruvuma after that we shall go to Mtwara and then Lindi because there are people carrying out criminal activities and they are in these forests,” he said.

In May, the government announced that it was dispatching troops to Tanzania’s border with Mozambique to boost security after insurgents launched attacks in the northern Mozambican province of Cabo Delgado.

In February this year, the group attacked security forces and civilians in Cabo Delgado, killing people, destroying property and seizing fire-arms and ammunitions.

In April, the group reportedly massacred at least 50 people in Muidumbe District when they over-ran the district’s capital Namacunde and occupied the district police command.

Media reports say the United Nations has recorded 28 attacks in the area since the beginning of 2020, which killed up to 400 people and displaced at least 100 000 others.

Source: The Citizen
 
Hii ni kweli kabisa, somewhere wilaya ya kilwa hawa jamaa wamepaki gari yao pembezoni mwa barabara na wanataka hapo upite at 50kph wakati hamna hata alama ya kukutaka ufanye hivyo, ukiviolate aisee hakuna rangi utaacha ona.
 
Kikosi cha Kusini cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimesema kitafanya msako katika misitu ya mikoa inayopakana na Msumbiji...
Pongezi kubwa kwa Jeshi la Wananchi kwa operation hiyo hao mashetani wasipewe nafasi yeyote kutuchafulia amani hapa Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania
 
Jwtz in taasisi pekee ya umma Tanzania inayojitambua na yenye ueledi na nidhamu ya hali ya juu sana. Watanzania tunajivunia sana Jwtz - ingawa huyu Kobelo wa kwa kina Iwe anaipeleka kwenye siasa ila naamini watanfunga spana tu.
 
Huyo Kobelo sio MTU serious anaoenda attention anakuwa kama mkuu wa polisi,..
Tunaimani kubwa na Jeshi la Wananchi chini ya Amiri jeshi mkuu John Pombe Magufuli kwa kusaidiana na mkuu Wa majeshi Venance mabeyo
 
2015 Kibiti
2020 Ruvuma
Kwanini wakati wa kampeni tokea May mlikuwa wapi?


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom