JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

Ushauri mzuri lakini si raisi hivyo wizara ya mambo ya ndani ina bajeti ndogo mno pili hapa kwetu masuala ya ugaidi na uhalifu si mengi na kama yapo syo ya ukubwa huo hzo iron dome za israel zimewekwa kwa shinikizo maalumu kwa magumu waliyopitia mfano mfumo mzima wa ulinzi na usalama wa USA uliimarika mara 10 zaid baada ya tukio la sept 11 hvyo kwa hapa kwetu bado ni vigumu kufika huko kwa sasa ila kitafanyika ambacho kina umuhimu kwa wakati na mazingira maalumu pekee haya maoni tu wana jamii int
Tpdf halipo chini ya wizara ya mambo ya ndani!

Ni wizara ya ulinzi.
 
Ushauri mzuri ila unahitaji gharama kubwa kutekeleza.....anyway kidogo kidogo tutapiga hatua.
 
Kuna maonesho na kazi halisi angalia hata korea nao huwa wanavunja sana matofali kwa kichwa au hata kwa ulimi mbele ya Kim,,, hoja kuu hapo ni Tpdf wajipange zaidi katika silaha za teknolojia kubwa ili kuendana na modern world,,,
 
Kuna njia kuu tatu za kutumia kwenye medani ya Vita Ila nasikitika Sana tpdf bado wanambinu ile ya kizamani ya nchi kavu .
Anga na maji ndio inayotumika kwa Sasa mfano ukanda wote wa
baharini tpdh hawana hata destroyer moja anga ndio kabisaaaa...check wazee wa kazi hawa
 
Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua!

Hiyo ni moja, mbili..

Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila zinazo tua ardhini chache sana kutokana na nguvu ya technolojia ya kulinda anga ya IRON DOME.

Yani kombora kabla halija tua lina maliziwa huko huko angani..

Sasa najiuliza hayo makombora yaliyo rushwa kwenda Israel na yakamalizwa kabla hayajatua ardhini je yangetua pale Magogoni au pale posta au pale kariakoo kuna Mtanzania hata mmoja angepona kweli?

Nadhani ni wakati sasa TISS na JWTZ wakaanza kuwekeza kwenye technolojia zaidi maana vita vya kisasa ni technolojia na sio mabavu!!

Unaweza pigwa na kanchi kadogo kisa tu kanatumia technolojia wakati wewe umewekeza kwenye mabavu na kuvunja matofali kwa kichwa!

Dunia ya sasa ni bora uwe na jeshi la watu 1000 wenye IQ kubwa na wenye kuweza kutumia technolojia kuliko uwe na jeshi la watu milioni moja ambao hawajui hata kuwasha kompyuta!

Ajirini vijana wenye IQ/Akili kubwa ili muwatumie katika technolojia na tafiti mbalimbali za kitechnolojia!!

Acheni kuangalia TBC kila saa washa Aljazeera mjifunze kichoendelea huko gaza na jinsi wenzetu wanavyowekeza kwenye technolojia!!

Zindukeni dunia imebadilika hii!!

Naomba kuwasilisha!
Kuna ile movie ya" hunter killer"wana wanapiga vita vya baharini si kitoto,tuwekeze kwenye technology ,ili tufike mbali.
 
Huu ni uzi murua kwenye forum hii mwaka 2021
 
Ushaambiwa maonyesho bado unataka sijui nini
Haukusikia kifaru kiligoma kulipua huko nangaya(kilikua kibovu)

Tuwe serious kdg na nchi yetu afu tambua hz changamot unazozisikia ktk secta nyingn cjui,afya,elimu na ktk ulinzi ndio hz hz ukitak amin wait siku tutapoingia ktk serious problem ndio utaamn(siombei)
 
We mpumbavu kweli wew ...

Hyo israel na parestina ni kama ilala na Temeke.... Town city center tuu!!

Uwez linganisha kwa ukubwa wa nch!!!

Halafu hizo rocket hazipigi zaid ya mail 50 .. . ni jiran mnoo!!!!

Kama uamin!!! Njoo chombon field tukuonyeshe vitu ambavo ujawah kuvifikilia!! M*MAE
Acha mikwara kwa raia jomba
 
Mleta mada hujui usemacho chulia watu wamekuteka nyara wamekunyanganya silaha utapigana kwa teknolojia ipi zaidi ya kutumia ngumi mateke karate na kichwa chako?

Chukulia watu wanaleta vurugu eneo kama kariakoo ,gari haiwezi ingia je utatumia bunduki kuwapiga risasi wote kwenye vichochoro na mitaa iliyobanana ambayo ina vichochoro vingi?

Vita za ardhini mbali na kutumia silaha zinatuimia ngumi ,mateke na vichwa na karate.Wewe unawaza vita tu ya teknolojia utakuja tekwa mjini ulambwe makofi ubaki unalia tu kama bwege usiyeweza hata kujitetea kwa vichwa ,ngumi na mateke
Unazungumzia movie bro....achan na hz mamb
 
Ujinga mzigo

Kwa hiyo mfano ukiwa mwanajeshi uko doria mtaani akija akija kibaka kwa nyuma yako akakukaba utabonyeza computer? kuumchomoa kwenye shingo yako kiteknolojia mjinga wewe?
Kwa Hy tiz la kuvunja tofali ni kwa ajili ya vibak
 
Kenya hii ambayo wanapigwa ovyo na alshabab kuwa serious Kenya Hamna kitu
hivi wewe Kwa akili zako unavyosikia Hao Alshabab wanajiita migambo unawachukulia poa?
Hakuna vita ngumu kama kupambana na magaidi,kawaulize marekani kilichowakuta Hapo Somalia Kwenye operation zao Hao migambo ni Soo maana muda mwingi hujichanganya na raia wa kawaida na kujifanya innocent muda wa tukio wanachomoa paipu wanaatack wanafyeka na kurudi kitaa wakijifanya kushangaa tukio na wao Hivyo usiwabeze jeshi la Kenya Aisee Wana KAZI ngumu Sana Sana kuwasambaratisha magaidi!
 
Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua!

Hiyo ni moja, mbili..

Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila zinazo tua ardhini chache sana kutokana na nguvu ya technolojia ya kulinda anga ya IRON DOME.

Yani kombora kabla halija tua lina maliziwa huko huko angani..

Sasa najiuliza hayo makombora yaliyo rushwa kwenda Israel na yakamalizwa kabla hayajatua ardhini je yangetua pale Magogoni au pale posta au pale kariakoo kuna Mtanzania hata mmoja angepona kweli?

Nadhani ni wakati sasa TISS na JWTZ wakaanza kuwekeza kwenye technolojia zaidi maana vita vya kisasa ni technolojia na sio mabavu!!

Unaweza pigwa na kanchi kadogo kisa tu kanatumia technolojia wakati wewe umewekeza kwenye mabavu na kuvunja matofali kwa kichwa!

Dunia ya sasa ni bora uwe na jeshi la watu 1000 wenye IQ kubwa na wenye kuweza kutumia technolojia kuliko uwe na jeshi la watu milioni moja ambao hawajui hata kuwasha kompyuta!

Ajirini vijana wenye IQ/Akili kubwa ili muwatumie katika technolojia na tafiti mbalimbali za kitechnolojia!!

Acheni kuangalia TBC kila saa washa Aljazeera mjifunze kichoendelea huko gaza na jinsi wenzetu wanavyowekeza kwenye technolojia!!

Zindukeni dunia imebadilika hii!!

Naomba kuwasilisha!
Fanya tafiti man vile vibwagizo hata Korea marekani wanavunja tofali ulitaka kwenye events kama waende na laptop Dunia ya Leo Bado hakuna mbadala wa kutumia nguvu hata hao wamareni Bado miguvu jeshini ipo
 
Kwa Hy tiz la kuvunja tofali ni kwa ajili ya vibak
Vita si kupigana na Askari n tu ni pamoja na kupigana na vibaka kama wewe pia Askari mwili wake wote ni silaha aweza tumia kichwa kukutwanga au teke au ngumi au kofi au au risasi ya pistol au bunduki au rungu au akakutandika hiyo vita ni ya Ana Kwa Ana

Ukimtupia tofali halimdhuru linavunjika mwilini tu halafu anakuvaa mbona utamkoma
 
Kupigana na kibaka ni Vita?,hujui ma'an ya Vita..
Afu unaposem kibaka Kam mim,unakuwa unakosea,huu ni mjadala kwnn unaonesh kumind na kuchukulia vitu parsonal
 
Back
Top Bottom