JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

Aibu miaka zaidi ya 60 ya uhuru eti tunajivunia kuwa na wanajeshi wana mazingaombwe ambao kazi zao ni kuvunja tofali
 
Ardhini wataingia lazima lakini ukiona wameingia ujuwe wanajuwa huna madhara tena uko hoi taabani.
Si kweli waingiaji wenyewe hujianda na kuwa fit hasa

Ona askari wa miavuli hawa makomandoo wa kike wa jeshi la ardhini wa Marekani wakiwa kwenye mazoezi hayo unayodharau kuwa ohh kuruka juu ya ndege ni ushamba hao ni askari wa kikosi kabisa cha kijeshi wanaitwa paratropers Army waweza tua popote na kupigana ardhini.Pamoja na Teknolojia yao wana warukaji juu ya ndege!!!

Hao wakiruka kama wa kwetu wa JWTZ
 
Bastola na bunduki huwa haiwashwi na computer!!!! bomu la kutupa kwa mkono haliihitaji kujua computer!!

Kuvuka mito yenye mamba kuingia eneo la dui misituni huhitaji computer

Askari hahitajiki tu mwenye akili nyingi anahitajika mwenye nguvu nyiki kuanzia kichwa chake kiwe na nguvu ,mikono yake iwe na nguvu na miguu yake iwe na nguvu sio nyoronyoro anayejua tu kubonyeza keyboard!!! Hiyo compute centre yake ikitwangwa na kombora atakuwa mgeni wa nani wakati hata vimiguu vyake nyoronyoro hata kukimbia hawezi na akikutana na adui baada ya kituo chake cha computer kushambuliwa hawezi hata mrushia ngumi au mateke na vichwa kuokoa maisha yake wasije mteka akatoa siri?
Hujaelewa mada. Hamna sehem nimesema wanajeshi wasiwe wakakamavu. Acha papara soma mada uelewe!!

BTW hiyo center itapigwa vipi wakati inalindwa na mtambo wa kuzuia makombora?
 
Kwenye vita unatakiwa ready kiakili na kimwili sasa usitake wajikite kwenye technologia tu, Nadhani technologia ni haioneshwi tu lakin kwa sasa ni lazima watakuwa huko tu
 
Nchi zote ambazo zimekuwa kiteknolojia askari bado anafundishwa kuwa mkakamavu. Sijaelewa unachoongea kwa kweli, kwamba physical endurance isiwepo kwa askari ndo unachokisema?
Ni wapi nimesema hicho kitu?

Kabla mwanajeshi hajaitwa mwanajeshi ni lazima apitie mafunzo ya ukakamavu akimaliza ndio anaitwa mwanajeshi.

Hoja yangu ni kwamba wasiishie tu kwenye ukakamavu waende mbele zaidi hawa wanajeshi wapewe mafunzo ya technolojia za kisasa na kama ikiwezekana jeshi liwekeze kwenye vijana/wanajeshi wenye IQ kubwa ili watumike kwenye tafiti za technolojia za kijeshi.

Umeelewa?
 
Kwenye vita unatakiwa ready kiakili na kimwili sasa usitake wajikite kwenye technologia tu, Nadhani technologia ni haioneshwi tu lakin kwa sasa ni lazima watakuwa huko tu
Ni wapi nimesema hicho kitu?

Kabla mwanajeshi hajaitwa mwanajeshi ni lazima apitie mafunzo ya ukakamavu akimaliza ndio anaitwa mwanajeshi.

Hoja yangu ni kwamba wasiishie tu kwenye ukakamavu waende mbele zaidi hawa wanajeshi wapewe mafunzo ya technolojia za kisasa na kama ikiwezekana jeshi liwekeze kwenye vijana/wanajeshi wenye IQ kubwa ili watumike kwenye tafiti za technolojia za kijeshi.

Umeelewa?
 
Hujaelewa mada. Hamna sehem nimesema wanajeshi wasiwe wakakamavu. Acha papara soma mada uelewe!!

BTW hiyo center itapigwa vipi wakati inalindwa na mtambo wa kuzuia makombora?
hata kama unailinda dhidi ya makombora kikosi cha makomandoo cha adui chaweza vamia physically .Unasubiria kombora lije unasikia watu wakishambulia ardhini hapo hapo kilipo na mibomu na mirisasi na askari wa ardhini
 
We mpumbavu kweli wew ...

Hyo israel na parestina ni kama ilala na Temeke.... Town city center tuu!!

Uwez linganisha kwa ukubwa wa nch!!!

Halafu hizo rocket hazipigi zaid ya mail 50 .. . ni jiran mnoo!!!!

Kama uamin!!! Njoo chombon field tukuonyeshe vitu ambavo ujawah kuvifikilia!! M*MAE
Acha bange. Unamaanisha Tz inaweza kumkalisha isreal vitani kwakutumia hizo zana mlizo nazo
 
Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua!

Hiyo ni moja, mbili..

Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila zinazo tua ardhini chache sana kutokana na nguvu ya technolojia ya kulinda anga ya IRON DOME.

Yani kombora kabla halija tua lina maliziwa huko huko angani..

Sasa najiuliza hayo makombora yaliyo rushwa kwenda Israel na yakamalizwa kabla hayajatua ardhini je yangetua pale Magogoni au pale posta au pale kariakoo kuna Mtanzania hata mmoja angepona kweli?

Nadhani ni wakati sasa TISS na JWTZ wakaanza kuwekeza kwenye technolojia zaidi maana vita vya kisasa ni technolojia na sio mabavu!!

Unaweza pigwa na kanchi kadogo kisa tu kanatumia technolojia wakati wewe umewekeza kwenye mabavu na kuvunja matofali kwa kichwa!

Dunia ya sasa ni bora uwe na jeshi la watu 1000 wenye IQ kubwa na wenye kuweza kutumia technolojia kuliko uwe na jeshi la watu milioni moja ambao hawajui hata kuwasha kompyuta!

Ajirini vijana wenye IQ/Akili kubwa ili muwatumie katika technolojia na tafiti mbalimbali za kitechnolojia!!

Acheni kuangalia TBC kila saa washa Aljazeera mjifunze kichoendelea huko gaza na jinsi wenzetu wanavyowekeza kwenye technolojia!!

Zindukeni dunia imebadilika hii!!

Naomba kuwasilisha!
Mi ntafurahi wakibadilisha hata zile adhabu zao kwa raia....
1. Kuna Dereva wa hiace alijitusu akaingia kambi ya Jeshi. Wakamwambia kwanza mchafu adhabu yake ikawa kuoga maji lita 1 na sabuni ile ya mia tano... sharti sabuni iishe, jamaa alikoma kuringa.

2. Mi nikiwa mdogo tulipita eneo lao tukapita krb na jiko lao tukiokota maembe wakatusimanisha wakatwambia nyie mnaonekana mna njaa. Wakapakua wali ndoo kubwa ile wakamimina na maharage wakatwambia mle huu wali hadi uishe Imagine tulikuwa 4.... awali tuliona jamaa wana upendo mkuu...baada tumeshiba wakatukazania tumalize ule wali aisee tulitoka matumbo yamechomoza kama tunaenda Labour.
 
Ukiwekeza kwenye teknologia jeshi la foot soldiers "milioni moja na malaki" la nini?
nenda jerusalemu Israel uone kila ukipishana na watu 10 wanne ni askari waliovaa nguo za kijeshi wakiwa na bunduki kabisa pamoija na teknolojia yao

Hakuna jiji lenye askari wengi kama Jerusalem ISRAEL
 
Unawaza kama mimi na hakuna nimekuwa nikikidharau kama kuona wanaoitwa makomandoo wetu wakishindana kuvunja tofali pale taifa, na kuruka kwenye ndege kwa kutumia parachuti,
Unasema tu hiiiiiiiii unanyamaza. Vita leo hii ni sayansi tupu, vita kubwa haziganwi kwa SMG, AK 47 nk, leo hii watu wanacheza na computa Dude linakufata huko huko.
Vita ya bunduki ni kwa ajili ya kupambana na vikundu vya waasi lkn nchi kwa nchi taifa kwa taifa hatuhitaji askari wa kuvunja matofali kwa mikono wala kwa vichwa.
Mpaka hapo naona bado point yako inatoa umuhimu wa hayo mazoezi ya kupasua na kukaratee
 
Uzi wa hovyo sana Kama ujuwi ni bora ukae kimya umeandika nini.
Tambuwa kuwa kuna jesha la Anga, Nchi kavu na Maji.
Jeshi la Nchi kavu likiruhusiwa kuingia Gaza vita vya kuvunja tofali utaviona ,siyo tofali peke yake mpaka Visu,panga mawe kila sirah inaweza kubebwa kwenye mkono itatumika na Wapalestina.
Tofali limerushwa mwanajeshi wa Israel kabeba bunduku ilo tofali analizuia vipi au ataomba msaada kutoka kwa Iron Dome kuvunja Tofali .

Acha kudharau Jeshi letu
 
We mpumbavu kweli wew ...

Hyo israel na parestina ni kama ilala na Temeke.... Town city center tuu!!

Uwez linganisha kwa ukubwa wa nch!!!

Halafu hizo rocket hazipigi zaid ya mail 50 .. . ni jiran mnoo!!!!

Kama uamin!!! Njoo chombon field tukuonyeshe vitu ambavo ujawah kuvifikilia!! M*MAE
Mbona mada inaeleweka tu matusi ya nini? Mi nilitegemea wewe kama 'mtu wa Field' uje na nondo za uhakika kuelewesha watu humu juu ya kile ambacho kinazungumzwa hapa
 
Kaweke akili charge. Battery low.

Kwa hilo Boko ulilolitoa kama akili zako zingekua zinaCharge a bit......

America wasingekua na wale jamaa wa NAVY SEALS au MARINES ambao wao wanavunja nazi kwa ugoko.

Kacharge akili izo au battery haikai na chaji??????

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Huwezi hata kujenga Hoja, hiyo si namna ya kumshauri mtu au kujibu hoja za mtu
 
Back
Top Bottom