Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

Status
Not open for further replies.
naibu katibu wa chadema bwana zitto zuberi kabwe ajue kabisa kuwa siasa chafu anaoufanya dhidi ya viongozi wenzake wa chadema haitafanikiwa kwani yuko uchi kwa sasa namwona kama kilaza mbele ya ben wa saanane kwani anachomzidi ben ni elimu,ubunge na ufisadi lakini upstair ben is more intelligent than yeye na pia watanzania tumeshajua mbivu na mbichi kwani zito na kundi lake ni wababaishaji tu na hawatafanikiwa huu upuuzi wanaoufanya elimu anayo lakini ajabu bado anaamini ushirikina daa anatia aibu.
 
Haya mambo niliyajua mapema yatatokea maana huyu bwana Zitto amekuwa hasomeki mara anajitangaza kuwa rais kabla ya wakati,mara anazungumzia udini,mara ukabila,mara asafiri na rais,kwakwel inatia shaka sana.

Lakini hata afanyeje hawezi shindana na Mungu na labda kama hajui aendelee na tabia yake mbovu ataona mungu ameamua kuwaondoa hawa wazandiki madarakani.hili ni ghalika halizuiliki
 
Duu kama ni kweli bora uchaguzi mkuu ndani ya chama ufanyike mapema , hata kitila? Au nimesoma vibaya
 
mods naomba muufunge huu uzi sababu hakuna jipya tena na zitto kaingia mtini kuja kujitetea..saa nane kashinda mpambano
 
Dr,mi naungana na wewe hakika hata maandiko matakatifu yanasema,umoja na upendo ni silaha ya kumpiga shetani,sasa shida inataka kuja kwa upande huu wa pili wanasoshojia katika somo lao la family life,hatua ya kuchagua mwenza kwamba mara nyingi watu hupenda kuona kwa kulinganisha status zao lakini ukweli unakuja pale sasa maisha ya ndani ya kila mtu anajua kuliko mwenzie maana elimu ni sawa,labda kifedha za wazazi ni sawa hakuna wa kushuka na kumbe kushuka mahali si ujinga na kumtanguliza mwingine kuwa bora nai jambo la baraka tu sababu maandiko yanasema ukishushwa Mungu atakuinua tu,kwa nini tuwategemee wanadamu ratiba ya Mungu haipanguliwi hata siku moja,tushee uwezo wetu wa kiakili tulizopewa na Mungu kwa manufaa sababu maisha ya duniani ni mafupi sana na maandalizi ya maisha ya milele yasiyo na mwisho,tutakwenda kutoa hesabu ya mabo haya,TAFAKARIIIII.
 
Mbona sikuelewi wewe ni jinsia gani kabla sijafanya munakasha na wewe?

yaan magamba ninyi ni mambo ya chupi chupi tu, kingine ni uwizi, ufisadi, na umbea, yaan post yangu yote hakuna kilichoku-interestisha zaidi ya chupi, basi! dah...
 
Mh Zitto,

WanaChadema wote, na wapenzi wa Chadema wote, kila mmoja wao kwa namna yake na jinsi yake, wametoa muda wao, damu yao na jasho lao, hivyo Chadema in jasho la wengi si lako tu.

Wala usidhani wewe ni nguzo ya Chadema, au ni wa muhimu sana katika Chadema. Chadema ni chama cha watanzania.
CHADEMA ITASONGA MBELE VYEMA SANA, BILA UWEPO WAKO KATIKA CHADEMA.

Ushauri wa bure, ni vyema ukajiuzuru uondoke Chadema, kabla ya kufukuzwa chadema, kitu ambacho kitakuwa ni cha fedheha sana kwako
 
Hii issue wakuu ina mambo mengi nyuma yake,leo nilikuwa mahali napata lunch mahali na nikawa nimekaa na ndugu zangu fulani wakubwa wa magamba hapa makao makuu,walikuwa wanajadili hii issue ya zzk,wanashabikia sana haya mambo kumkumba zzk,kisa tu eti hawamuelewi kwa nini yupo karibu na mwenyekiti wao sana kuliko hata wao.
Leo nimeamini hata ndani ya magamba makundi ya uraisi 2015 hayampendi kabisa zzk na hayapendi kabisa uhusiano na ukaribu wake na jk hasa ukizingatia kauli za zzk kuhusu kugombea uraisi 2015 na kushushwa kwa umri wa mgombea uraisi.
Mimi kutokana na haya yote naona ni lazima mtu kama unabusara za ziada ni vyema kusubiria mpaka maamuzi yatakayotolewa na uongozi wa CDM na si kuhukumu watu bila ya kuwa na ushahidi madhubuti.
Kila kitu kinachosemwa chaweza kuwa kweli ama la,kila mtuhumia anaweza akawa anatumiwa na kundi fulani ama la, cha msingi ni kupeleka ushahidi kwenye ngazi husika za CDM ili mchawi ajulikane na dawa ya kudumu itafutwe.
 
Wakuu kwenye uzi wa Exaud mimi sijaipata hii sentensi sawa sawa -- ana maana gani?

"Na hata Dr Kitila mkumbo alikuwa akitupa kila kitu ili kufanyikisha mkakati wa kuwafanya madiwani wa Arusha wawe juu ya mh Lema zaidi zaidi diwani Estomih Mala awe na nguvu kisiasa zaidi ya Lema."
 
lakini wana jf, kuna uhusiano gani kati ya zzk &wasira, zzk &zoka, zzk &jk, zzk&j makamba,zzk &rizi1. Double agant? indepent agent, kwanini pro ccm wanamuunga mkono bungeni? All in all zzk is someone to look na jicho la 3.

Nafikiri pia na hili linawezekana (ZZK & Ramadhani Ighondu) jaribuni ku hack simu zao ili tujiridhishe ki ukweli kweli
 
Heri kufungwa minyororo ya UZALENDO, HAKI na UKWELI kuliko siasa hizi za Kibongo zisizo na tija.
 
Hivi zitto bado hajajiuzulu tu? Na hao masalia nao? Ni kinyaa hata kuifikiria hii issue! Shame on them.
 
Nimetokea kukiamini sana chama cha CDM kwani sipendi chama kimoja kijihakikishie umungu katika siasa.Ila kwa hizi tuhuma nakata tamaa kabisa.Na huyu bwana anaetaka kugombea 2015 ndo ananipa mashaka makubwa :A S angry:

Tatizo la siasa za Tanzania hatupendi ukweli na uwazi.............. tumezoea siasa za CCM za mambo yanamalizwa ndani ya chama na wananchi hawatakiwi kujua kinachoendelea. Hizi ni siasa na mbinu za ki-communisim kama China, Cuba, North Korea n.k. Kwa ujumla inabidi tumshukuru mtoa mada na ujasiri wake wa kutueleza waziwazi jinsi alivyokuwa anatumiwa na Zitto kukihujumu chama. Kitu alichotakiwa kufanya baada ya hilo ni kujiudhuru uongozi (kama ni kiongozi) na kubaki kama mwanachama wa kawaida mpaka hapo tutakapomwamini tena.

By the way, hivi ni nani alimdanganya Zitto kuwa ana sifa na uwezo wa kuongoza TZ???
 
mambo ya viapo hayo ,kumbe tunapambana na watu waliokula viapo kwa waganga, asante mungu kwa kutufungua hatubishani nanyie tenaaaa! Coz sie hatukula viapo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom