Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Ah wapiga debe for or against OIC mna matatizo sana. Mnanyofoa vipengele mnavyopenda halafu mnajenga hoja hebu ielezeni hiyo charter katika ujumla wake ina ubaya gani? Kwamfano huyo huko juu kanyofoa kipengele halafu anatueleza hizo hidden agenda. Sasa na mimi nanyofoa kile kipengele kinachosema kuwa OIC itaheshimu sovereiginty ya Mataifa wanachama. Sasa hiyo hidden agenda yake itapita wapi? Acheni propaganda Bwana, Mnatuyumbisha.
Sasa kama ni hivyo katika makundi hayo mawili mimi waniweka kundi lipi?