Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Suala la mahakama ya kadhi ni suala la waislamu wenyewe kuanzisha kwani ni haki katika ya msingi ya ibada na wala sio suala la kusubiri serikali ambayo haina dini au watu wa dini nyingine waamue kwani wana hofu nalo sana na wanaona kama litatawakwaza katika ibada zao.
 
chin i ya ccm hakuna mahakama ya kadhi. hii ni ndoto llabda cuf wachukue nchi

Ndugu yangu hapo unakosea!Maana bado naamini chama au serikali haina dini wala kabila.
Kwahiyo mahakama ya kadhi isihusiswe na serikali wala chama chochote cha siasa.Kwanini tusiwe waungwana kwa kuchambua mambo kimsingi bila kuangalia pande zinazofungamana nacho?
Kadhi iundwe na waisilam na iendeshwe na waisilam kwa manufaa yao waisilam kwa ridhaa ya mwisilam mmoja mmoja na sio kuhusisha vyombo vingine vya kijamii na serikali.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Lakini hebu tusaidiane mawazo kwenye huu mtindo mpya niliouona. Mabenki makubwa duniani yameanza huduma mpya ndani ya mabenki yao inayoitwa 'islamic banking' kama mbinu ya kukamata vizuri wateja wao, na kuwavutia waislamu wanaopinga mifumo ya kisasa ya benki. Kuna co-existence ya Islamic na non-Islamic banking katika benki ileile, mteja anachagua huduma anayotaka. Na wenye benki wamewekeza katika zote mbili, wamefundisha watu,wameajiri na wanalipa mishahara, siyo kwamba waislamu ndiyo wanaolipia hao wafanyakazi huko benki, ni mtaji uleule unaochangiwa na faida inayopatikana kutoka kwa amana zote hata zile za wasio waislamu. Je, jambo kama hili linawezekana katika sheria? Yaani tuwe na islamic laws coexisting with non-islamic laws, na wahusika wachague wanayotaka? Serikali ihudumie mahakama zote kama mabenki yanavyofanya kwa mfano nilioutoa? Je haitakuwa haramu kwa waislamu kwa ibada yao (mahakama ya kadhi) kugharamiwa kwa fedha zinazotokana na vitendo haramu kama kamari, biashara ya vileo, mauzo ya nguruwe na riba? Maana hivi vyote vinachangia katika kodi ya serikali.
 
Natakubaliana na wewe endapo tu kazi zote za majaji wa mahakama zisizohusiana na waislam zitakuwa reserved kwa wasiokuwa waislam tu.
 
Kwanini wapewe wasiokuwa waislamu labda nikuulize hao wasiokuwa waislamu wanajua kuhusu sharia laws? Kwanini usiseme wapewe watu wote wenye kufahamu sharia laws? Au ndio ile agenda yenu ya kudai eti wakristo wamesoma waislamu hawajasoma???? Pia jiulize sharia laws zinataka jaji awe nani? na awe na sifa gani?
 
Anybody wants to contribute, discuss, add, or reply on this very passionate topic, here it is again.
 
Napotosha kivipi mkuu?,Huyu Binti Jenifa alianzisha thread ikiwa na heading Dr. Slaa kapotelea wapi?

na kwa bahati nzuri Dr.Slaa alijitokeza na kuanza kumjibu kabla ya Malaria Sugu,Ritz,Mdondoaji na FaizaFoxy hawajaja na maswali yao yanayohusiana na mambo ya udini ikiwemo mahakama ya kadhi(sijaona Jenifa akipost ishu yoyote ya udini)......Baadaye mods walibadilisha title ya thread na kuwa 'Mazungumzo na Dr. Slaa: Maswali na majibu' ambapo post za udini ziliendelea kuingia mpaka tukafika page ya 9 kama sio ya 10 kabla Silencer hajaziondoa na kutoa onyo tukafika......Na baada ya post za udini kuongezeka niliweka post hii

Baada ya hapo nilimtaka Dr.Slaa ajibu maswali ya baadhi ya watu baada ya kuona heading imebadilishwa(nijuavyo mimi mods pekee ndio wanaweza kubadilisha heading na si member,) nikadhani labda wameibadilisha baada ya kuwasiliana na Dr. Slaa ili thread hii iwe maalum kwa yeye kuongea na wana JF kwa njia ya maswali na majibu.....

Sasa upotoshaji sijui unatoka wapi hapa............Halafu kwa nini umsemee Dr.Slaa wakati yeye mwenyewe yuko online humu na alianza kuijibu hiyo thread unayoisema inamkejeli kabla hata haijabadilishwa heading.......

Balantanda,

Kwanza naona mjadala umeuvamia hukufahamu umeanzia wapi. Jenifa alimuita Dr Slaa aje ukumbini kujibu masuali. Malaria Sugu alimuuliza kuhusu suala la kadhi na OIC. Dr wako wa uaskofu aliwajibu kuwa yeye anashughulikia masuala ya umuhimu suala la kadhi na OIC akaliruka. Alipoulizwa waislamu wanawaogopeni chadema kwasababu hawajui msimamo wa Chadema akasema waislamu wapi yeye amekutana na waislamu wa Kisarawe wao shida yao ni mlo wa uhakika.

Sasa mimi nimemuuliza je mahakama ya kadhi na OIC si suala la umuhimu kwa tanzania. Watoto waliozagaa mitaani mayatima nani atawasimamia au wale sio watanzania? Na waislamu je sio walipa kodi nchini? na wao sio watanzania? In short Dr Slaa amekimbia huu mjadala kwani either hana hoja ya kujibu au ndio naanza kuamini Chadema ni Anti-islamic party.

Silencer amefuta posti zangu kwa utashi wa mapenzi yake ya dini. Amenisikitisha amekuwa bias katika maamuzi yake ya kufuta kwani hakuna post hata moja isiyokuwa na hoja ya msingi. KWA ALICHOKIFANYA LEO AMEDHIHIRISHA HAFAI KUWA MODERATOR KWANI YUKO BIASED

Kama definition ya udini ni kudai impartiality na usawa basi wacha niwe mdini ila nadhani definition yenu ya udini ni chuki yenu dhidi ya uislamu.
 
Mods naomba ili hii Topic isiwe closed anzeni kumark ni nani huwa wanaaza chokochoko hivi hapo nilipomuwekea RED huyu ndugu kuna Dr wa uaskofu dunia hii? kama kawaida hapa ni za uso tu ukija na kejeri utakimbia mwenyewe, nyumbani kwangu nina libraly ya kejeli zote.
 
Nimekuwa nikifuatilia thread hii toka jana bila kumng'unya maneno thread hii itaharibiwa na watu hawa

1. W.J.Malecela- atasababisha topic ibadilike watu wataanza ku discuss Malecela matters.
2. Mdondoaji- atasababisha watu wahame kwenye mada iliyopo waanze ku discuss udini na dini za watu.

Kwa hiyo nawashauri Mods kuwa waangalifu ili topic isitoke nje ya mada.

Luteni usinitilie hila mie sidiscuss dini za watu in fact najadili kisheria mantiki inayodaiwa kuwa mahakama ya kadhi haifai ni ipi Nimemuomba Dr Slaa anijibu naona kimya. Kuanzia sasa mada za dini sitajibu tudiscuss masuali na majibu. Malaria sugu aliuliza msimamo wa chadema kuhusu Kadhi na OIC tunamuomba Dr Slaa atujibu (maana title ya thread ni mazungumzo na Dr Slaa).
 
Balantanda,

Kwanza naona mjadala umeuvamia hukufahamu umeanzia wapi. Jenifa alimuita Dr Slaa aje ukumbini kujibu masuali. Malaria Sugu alimuuliza kuhusu suala la kadhi na OIC. Dr wako wa uaskofu aliwajibu kuwa yeye anashughulikia masuala ya umuhimu suala la kadhi na OIC akaliruka. Alipoulizwa waislamu wanawaogopeni chadema kwasababu hawajui msimamo wa Chadema akasema waislamu wapi yeye amekutana na waislamu wa Kisarawe wao shida yao ni mlo wa uhakika.

Sasa mimi nimemuuliza je mahakama ya kadhi na OIC si suala la umuhimu kwa tanzania. Watoto waliozagaa mitaani mayatima nani atawasimamia au wale sio watanzania? Na waislamu je sio walipa kodi nchini? na wao sio watanzania? In short Dr Slaa amekimbia huu mjadala kwani either hana hoja ya kujibu au ndio naanza kuamini Chadema ni Anti-islamic party.

Silencer amefuta posti zangu kwa utashi wa mapenzi yake ya dini. Amenisikitisha amekuwa bias katika maamuzi yake ya kufuta kwani hakuna post hata moja isiyokuwa na hoja ya msingi. KWA ALICHOKIFANYA LEO AMEDHIHIRISHA HAFAI KUWA MODERATOR KWANI YUKO BIASED

Kama definition ya udini ni kudai impartiality na usawa basi wacha niwe mdini ila nadhani definition yenu ya udini ni chuki yenu dhidi ya uislamu.

Wewe ni mdini.....

Hilo halina ubishi.............Punguza udini
 
Luteni usinitilie hila mie sidiscuss dini za watu in fact najadili kisheria mantiki inayodaiwa kuwa mahakama ya kadhi haifai ni ipi Nimemuomba Dr Slaa anijibu naona kimya. Kuanzia sasa mada za dini sitajibu tudiscuss masuali na majibu. Malaria sugu aliuliza msimamo wa chadema kuhusu Kadhi na OIC tunamuomba Dr Slaa atujibu (maana title ya thread ni mazungumzo na Dr Slaa).

Jiulize ni kwa nini posts zako za mwanzo zimeondolewa.....
 
Luteni usinitilie hila mie sidiscuss dini za watu in fact najadili kisheria mantiki inayodaiwa kuwa mahakama ya kadhi haifai ni ipi Nimemuomba Dr Slaa anijibu naona kimya. Kuanzia sasa mada za dini sitajibu tudiscuss masuali na majibu. Malaria sugu aliuliza msimamo wa chadema kuhusu Kadhi na OIC tunamuomba Dr Slaa atujibu (maana title ya thread ni mazungumzo na Dr Slaa).
Majibu ya maswali yako ni haya, ilani ya uchaguzi ya ccm 2005 ambayo kikwete ndio alikuwa anainadi ndio ilikuwa imewaahidi waislamu mahakama ya kadhi na ukumbuke aliyekuwa anainadi ilani hiyo ni Jakaya Kikwete ambae nae ni muislamu, na Watanzania walimchaguwa na akashinda, sasa wewe badala ya kumuuliza Kikwete na ccm yake kuhusu hilo unamuuliza Dr Slaa! is it fare?

Tumetoka kwenye uchaguzi juzi tu kuna sehemu CHADEMA walinadi ilani yao kwa kuingiza mambo ya mahakama ya kadhi?
Kuhusu kujiunga na OIC hilo mimi kwangu halina mashiko, bado unapaswa kuwauliza ccm wao ndio wanaunda serikali wakiamuwa kujiunga mimi sioni shida kwani jumuiya ziko nyingi tu, hata wakitaka kujiunga na jumuiya ya mashoga ila kama kuna misaada tutapewa na wajiunge tu ruksa.
Una swali lingine?
 
Luteni usinitilie hila mie sidiscuss dini za watu in fact najadili kisheria mantiki inayodaiwa kuwa mahakama ya kadhi haifai ni ipi Nimemuomba Dr Slaa anijibu naona kimya. Kuanzia sasa mada za dini sitajibu tudiscuss masuali na majibu. Malaria sugu aliuliza msimamo wa chadema kuhusu Kadhi na OIC tunamuomba Dr Slaa atujibu (maana title ya thread ni mazungumzo na Dr Slaa).
i thought hili suala limetolewa ufafanuzi,hamna ambaye anakataza kuifungua ni uamuzi wao,au mi ndo cjaelewa! Dini kitu gan ndugu yangu,hapo ulipo unawaza kukikucha kazini itakuaje umeme unaondoka,mafuta yamepanda bei,vyakula usiguse,watu wa nje wamekabidhiwa ardhi yetu kwa miaka kumi bure bila kodi,mabilioni ya fedha yanaibiwa kwenye secta mbalimbali ya nishati ikiwemo,mafisadi wanatesa tu bungeni wakati wamekwiba fedha za umma na kuacha watu wakiteseka,tabora shinyanga watu wanakufa kwa njaa,vyuo vikuu wanagoma uendeshaji mbovu vyuoni unaoanzia serikali kuu,vijana hawana ajira wanaranda randa tu. Yooote haya hamyaoni mnang'ang'ana na OIC kweli? OIC ina uzito kwa watanzania ukilinganisha na lolote nililosema hapo juu. Tuweke ushabiki usio na maana pembeni!
 
Back
Top Bottom