Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Semilong

JF-Expert Member
Mar 5, 2009
1,712
1,225
ni watoto wa nje wa kiislamu ambao wantanyimwa haki zao na wakati wa kristu wakitendewa haki zao

hii itachangia kushuka kwa elimu kwa jamii ya kiislamu, kwa ajili wakristu watakuwa wanaenda shule law school na kuwa pro, waislmu watakuwa wanakaa madrasa na kuwa mahakimu wa kadhi (one trick pony)
baadae itaanza kusemwa wakristu wanapendelewa wao wako kwenye nafasi nyingi za sheria

mfumo ambao serikali iufuate ni kama huu
The Islamic Sharia Council is listed as a charity but people seeking a divorce, or talaq, must fill in a form and pay a fee. For a man it is £100; for women, it is £250 because the imams say it takes more work to process a woman's application as her word has to be corroborated.

wanawake wajiandae kudhalilishwa
under Islam, the woman is seen as someone who needs the protection of a man. In matters of divorce, the right of ending a marriage lies with the man because 'women have emotions, whereas a man thinks first before he speaks'.
 
Tumain

JF-Expert Member
Jun 28, 2009
3,157
0
GT wewe ni ndezi tuuu
Waislamu walioiba EPA ni hawa hapa
J.Kikwete, Rostam, Karamagi, .....

Give me a break
Mwizi hana dini...akiletwa kwa waislamu hana mkono...awe kikwete, rostam..whoever courts rule kwamba ni mwizi hafai....tuache "ujinga wa ku-lebal dini kwa majina ya watu" huo ni ujinga....
Dini siyo mtu...ni mfumo huwezi kuifananisha ni mtu..ukristo siyo mkapa wala mramba...huo ni ujinga....
give a break ..hapa tunaongealea mahakama ya kadhi kwa waislamu...na uislamu kama mfumo siyo rostam wala nini...rostam/kikwete ni chini ya sisimizi kwa uislamu na waislamu
 
Tumain

JF-Expert Member
Jun 28, 2009
3,157
0
ni watoto wa nje wa kiislamu ambao wantanyimwa haki zao na wakati wa kristu wakitendewa haki zao

hii itachangia kushuka kwa elimu kwa jamii ya kiislamu, kwa ajili wakristu watakuwa wanaenda shule law school na kuwa pro, waislmu watakuwa wanakaa madrasa na kuwa mahakimu wa kadhi (one trick pony)
baadae itaanza kusemwa wakristu wanapendelewa wao wako kwenye nafasi nyingi za sheria

mfumo ambao serikali iufuate ni kama huu

wanawake wajiandae kudhalilishwa
Source yako ndugu!!!
Don;t read islam on the website....go and read a Holy Qura'an and Sunnah...women is more secured and more previlaged in Islamic law than any other dracoan laws on earth....
Ask "woman Islamic scholar" why she is muslim and how muslim liberate her...
Tatizo lako unauliza christian women to come useless statements (don't make serious wrong statements against islam without source). I suspect you are source is from jews website!!!
Muulize mke wangu haki zake siyo mke wako mkiristo acha umbea...
 
Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
serikali kukata kodi waislamu haitakuwa halali....baadaye inaweza kuitokea serikali puani ..kama ilivyowatokea puani kwa kukamata fedha za deci[viongozi wa deci wanawaambia washiriki wakadai pesa zao serikalini]

serikali ikijiingiza kukusanya hii kodi inaweza kupata kashfa au hisia kuwa zinatumika kufanya majukumu mengine..au ikitokea zimefujwa na watumishi wa umma [TRA]..itasababisha mgogoro mkubwa...

Njia pekee ya makanisa au misikiti kutoza kodi ni ..SADAKA....hata maandiko yanasema...MISIKITI IWE WAKALA WA KUKUSANYA MICHANGO YA WAUMINI KUHUDUMIA MAHAKAMA HIZI.....viongozi wa dini wanajuwa utaratibu wao wa kukusanya michango kwa madhumuni mbali mbali...

5niwpt.jpg
 
Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,259
2,000
Jamani tujadiliane kiungwana, ni lazima kuitana majina na kushambuliana? Waislamu wamepata walichokuwa wanakitaka na sasa wamepewa sababu ya kuichagua tena CCM. Kama ni hivyo, itakuwa ni makosa makubwa kwa waislamu kutoichagua CCM tena hasa baana ya hisani hii kubwa iliyofanywa.
 
Bull

JF-Expert Member
Nov 4, 2008
1,030
1,225
Wakristo wamesahau historia ya nchi hii kua niwaislam ndo waliovujajasho kupambana na wakristo wakoloni, wakati huo wakristo walikua hawafikiri kuusu uhuru wa TZ. sasa wanajisahau wanafikiri wao ndo wanstailil kila kitu hapa nchini. Nimeonaniwakumbushe history ya nchi hii kila muda ilimuweze kujielewa nyie wakristo naona mmejisahau sana.
 
Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
Ningependa kujus msimamo wa CHADEMA juu ya mahakama ya kadhi na na hiyo MoU kati ya Kanisa na serikali iliyotiwa saini na Lowassa

this should be interesting kujua CHADEMA wamesimama wapi kwenye haya
 
Tumain

JF-Expert Member
Jun 28, 2009
3,157
0
Jamani tujadiliane kiungwana, ni lazima kuitana majina na kushambuliana? Waislamu wamepata walichokuwa wanakitaka na sasa wamepewa sababu ya kuichagua tena CCM. Kama ni hivyo, itakuwa ni makosa makubwa kwa waislamu kutoichagua CCM tena hasa baana ya hisani hii kubwa iliyofanywa.
Kila muislamu ana haki ya kuchagua chama chochote kile...madai siyo mahakama tuu...halafu mwanakijiji vipi tena "Kupewa haki siyo hisani" ni haki tu ndugu...ili tuabudu kwa uzuri..tatizo wenzetu wameona ni "mashindano" for years shame
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,874
2,000
Haya imeachiwa CCM na TLP ndiyo waasisi .Huchoki kuchokonoa Chadema kaka .Chadema nadhani hawana la kusema kwenye hili si lao ni la CCM na wengineo Chadema kama Chama wao Tanzania kwanza .
 
X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,631
1,250
ni watoto wa nje wa kiislamu ambao wantanyimwa haki zao na wakati wa kristu wakitendewa haki zao

hii itachangia kushuka kwa elimu kwa jamii ya kiislamu, kwa ajili wakristu watakuwa wanaenda shule law school na kuwa pro, waislmu watakuwa wanakaa madrasa na kuwa mahakimu wa kadhi (one trick pony)
baadae itaanza kusemwa wakristu wanapendelewa wao wako kwenye nafasi nyingi za sheria

mfumo ambao serikali iufuate ni kama huu

wanawake wajiandae kudhalilishwa
poor arguments against Sharia...!
 
X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,631
1,250
Kila muislamu ana haki ya kuchagua chama chochote kile...madai siyo mahakama tuu...halafu mwanakijiji vipi tena "Kupewa haki siyo hisani" ni haki tu ndugu...ili tuabudu kwa uzuri..tatizo wenzetu wameona ni "mashindano" for years shame
Kwenye akili zao wanahisi kuwa Waislam si Watanzania kiasi ya kwamba kupewa haki zao ni hisani...! lol!
 
Tumain

JF-Expert Member
Jun 28, 2009
3,157
0
hiyo inaitwa tete kila ulimwete,sako la kima kafa nyani,maneno hayooo!!!Ndegeles,subirini taarifa kamili
Vyovyote utakavyokuwa mahakama mtatoa tuu iwe serikali ya CCm CUF au chadema . Uislamu ni zaidi ya siasa ndugu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom