Natakuliza shuklan za dhati naomba kuuliza kitaalam mwanamke bikira anaweza kupata mimba iwapo amefanya mapenzi lakini mwanaume akamwaga mbegu kwenye uke bila kumtoa ile bikira yake? Naomba kuwasilisha wadau
Natakuliza shuklan za dhati naomba kuuliza kitaalam mwanamke bikira anaweza kupata mimba iwapo amefanya mapenzi lakini mwanaume akamwaga mbegu kwenye uke bila kumtoa ile bikira yake? Naomba kuwasilisha wadau
Umeuliza swali zuri sana na nitakuambia kwa kifupi tu kuwa mwanamke bikira anaweza kupata ujauzito pasipo hata kuondolewa bikira yake, cases za namna hii hujulikana kama "virgin births".
Je ushawahi kujiuliza mbona mwanamke bikira huwa anatokwa na damu ya hedhi (mind damu ya hedhi hutokea katika tumbo la uzazi)?
Kwa kawaida ukuta wa bikira huwa una tundu moja au zaidi ambalo huruhusu damu ya hedhi kupita, hivyo hata manii huweza kupenya na kusafirisha mbegu kuelekea mji wa mimba.
Mkuu Watu 8 ameeleza vyema.
Kuongezea; kuna aina tofauti za bikra, na kutofautiana kwa maumbo yake, husababisha extent tofauti ya kuruhusu kiingiacho kwenye mji wa uzazi.
Ndio maana kuna story za bikra ngumu kutoka, wengine kutokujua zimetoka lini na wengine kutopata mimba hata ikagundulika kua bikra ilikua bado 'intact'.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.