Juu mzigo ndani wasafiri wamejaa kibao hii ndio bongo jamanI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Juu mzigo ndani wasafiri wamejaa kibao hii ndio bongo jamanI?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 22, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  hii mbona kawaida sana mkuu MziziMkavu .Tena kwa wale wanaosafiri kwenda Loliondo na mbulu wamezoea hii hali.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. m

  mchomepori Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hata hamna mzigo hapo!fatilia mando uone!
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Usafiri wa Ki Tanzania unatisha kwenye Meli watu wanakufa kwenye Mabasi watu wanakufa sijuwi tutembee kwa miguu?... Young_Master
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  kwenye piki piki nako ni balaa...huku bongo siku hizi kuna ward special kwa ajili ya ajali za piki piki.
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Haya mabasi miaka michache iliyopita ilikuwa mtindo mmoja kwenda kwa mbele na hakukuwa na ajali za kuua kama inavyortokea mabasi ya leo ambayo yameandaliwa kwa kuhimili vishindo. Tungekuwa bado na aina hii kwa babsi ya miendo ya mbali ingekuwa hadithi zaidi ya hii ya sasa kuhusu ajali.
   
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  jamani basi ngoja nikupigie picha basi moja la king cross hili linatoka iringa kwenda mtera utachoka manakke hadi mbuzi wanapakiwa ndani ya basi. hiyo mizigo ya pakacha za karanga na ufuta usipime manake uzito wake tu unatosha kabisa kuzidi mizani basi mkifika pa kupima mizani mnashuka kabisa ili msizidi kilo na wengine wanasogea mbele wanachuchumaa. chezeya mbongo kwenye kusaka ngawira weye.............
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Halafu basi limepambwa Pazia, mweee
   
 9. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280


  Hapana MziziMkavu, ukitembea kwa miguu utaliwa na Simba ama utauliwa na majambazi. Bongo inabidi uruke na ungo ila uombe sana maana wenye anga wakikukamata watakuua ama kukutoza faini.
   
 10. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,559
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona hilo pouwa sana tu?there are worst case scenarios mkuu,ndani mbuzi,kuku everything,halafu huwezi amini watu wameridhika na wanaichaguwa ccm over and over again.
   
 11. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hali hii itaendelea hadi hapo matrafiki watakapoacha kupokea rushwa.
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hivi si bora tungefia kwenye harakati za kuitetea nchi yetu inayoliwa na waliopewa dhamana kuliko kufa kwenye ajali za kizembe kama hizi za meli na magari kila kukicha?
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu mbona hiyo cha mtoto
  Nenda huko meatu au maswa ukutane na magari siku ya mnada au sokoni utashangaa
  hiyo ni cha mtoto sana wala haitishi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  MziziMkavu, enzi za Kituo cha mabasi Mnazi Mmoja n Kisutu mizigo ilikuwa zaidi ya hivi. Hasa kwa yale mabasi yaliyokuwa yakienda mikoa ya nyanda za juu kusini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  ...umenikumbusha mbali sana...afu kuna ile kitu inaitwa "vitu laini"..sijui inakwendaga wapi...ni noma nayo..inakula mzigo wa kufa mtu!!
   
 16. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hapo mbona kama stendi ya babati, magari ya kwenda kiru, bashnet, dongobesh, dareda, quatabradish, hirbadaw, balangdalalu, Garawjaw, Basodesh........ kawaida sana.
   
 17. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mzizi mkavu kwani kwa sasa wewe ni mwenyeji wa wapi?
   
 18. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hii lazima itakuwa mitaa ya Nkwarungu au Marangu moshi maana hayo madumu ni mbeghe kwa kwenda mbele...
   
 19. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,532
  Likes Received: 1,020
  Trophy Points: 280
  Huko hata ukiamia mguu kidole cha mguu solution ni kukata
  mguu mzima.
   
 20. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kijijini kwetu hakuna hata hilo basi ni Punda ndio anakuwa overload.MAISHA BORA KWA KILA MTz
   
Loading...