Justin bieber apigana ngumi kali na shabiki

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968

Video iliyowekwa na TMZ imemuonesha staa huyo akitoka kwenye hoteli aliyokuwa amefikia na kukutana na mtu aliyeonekana kumrushia ngumi nyepesi. Bieber alicharuka na kuanza kumrushia makonde jamaa huyo kabla ya kuangushwa chini. Watu waliokuwa hapo waliuamua ugomvi huo.

Bieber alikuwa mjini humo kwenye mechi ya tatu ya fainali ya NBA kati ya Cleveland Cavaliers na Golden State Warriors.
 
Justin Bieber alijikuta akizichapa ngumi na pande la mtu aliyesadikika kuwa ni shabiki wake usiku wa Jumatano huko Cleveland, Marekani.

Back
Top Bottom