Just simple

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
British Prime Minister Prime Minister David Cameron, left, and London Mayor Boris Johnson wait for a train after a political campaign in Newark in central England. Voters go to the polls on May 22 for local council elections
1400689278004-day052114-005.jpg
 
I guess sometimes nchi zao zinaruhusu wao kufanya ivyo..ivi kweli hata kama ni wewe ndo waziri saa hii utajipata ndani ya UDA?...
 
Wenzetu ukiwa na madaraka hakukufanyi uwe special, utakaa kwako utajitegemea mwnyw kwa mshahara wako hizo mbwembwe za ving'ora hazina tija km ktk utendaji
 
misafara mikubwa na ulinzi wa kutisha kwa viongozi wetu ni mbwembwe tu, asilimia tisini ya magari na viongozi wanao andamana na viongozi wakubwa wanapokuwa ziarani ni viongozi wasio na kazi za kufanya. Ulinzi mkubwa si kuwa kunatishio la usalama wao, ni ubabe tu usio na maana, kama kukiwa na tishio la usalama wala hao walinzi hawataweza kuzuia kitu. Kunatumika ujasusi wa kitaalam sana ili kumuua kiongozi mkubwa kiasi kuwa mpango huo uhusisha mpaka watu wake wa usalama ndo maanaa nasema kama kukiwa na tishio la kumzuri kiongozi yeyote mkubwa, ulizi alio nao hauwezi kuzuia kitu.
 
British Prime Minister Prime Minister David Cameron, left, and London Mayor Boris Johnson wait for a train after a political campaign in Newark in central England. Voters go to the polls on May 22 for local council elections
1400689278004-day052114-005.jpg

Hiyo briefcase toka enzi za ukoloni mpaka leo bado inatumika, mhhh jamaa hawa kwa ubahili ni kiboko!!!
 
Back
Top Bottom