Just imagine

Pumbavu mpaka umeweza kuandika hapa maana ake akili unazo na maamuzi unayo. Wacha ujinga wako
Hata wajinga wanajua kuandika, kama ambavyo nao huzeeka... na kufa... UNFORTUNATELY MAKABURI YA WAJINGA HAYAPO ENEO LA PEKEE YAKE... MNACHANGANYWA TU
 
Wewe dada natamani nikupige kofi akili yako ikae sawa

Tena weka wazuri kuliko yeye, hide wengine woote aone yeye tu
 
Jamaa keshaona uyu bidada bado ana matumaini ya kurudiana ndo maana anamdrive ivo, inakuwaje kila mtu na maisha yake afu akupangie sasa! Labda na umri wao bado hawajielewi ni nini wafanye
Mpo under 18?....mara nyingi wivu wa namn hiyo ni marioo
 
Nia yako.ya.kupost Ni ili.awaone hao una wapost?
..
Coz Kuna sehem kama Ni WhatsApp ya kuzuia mtu asione unachopost...
 
Shika usukani wa maisha yako kama yeye alivyoushika wake
Simple question je wewe unafurahia anavyopost huyo mwanamke wake if not basi na wewe amua post chochote unachopenda huo ni utumwa wa fikra kujilimit kwa furaha ya meingine hiyo haiingii akilini
Be you ,live your life as you wish not as he wish.
 
Naona bado unampenda jamaa,,,aliye move on ni jamaaa wewe bado kabisaa na huna hata dalili....kwa nilivoona mimi lakini
 
Tangu nimeachana na mwanaume wangu tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja. Sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile, amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume.

Imagine ungekuwa wewe ungefanyaje? Anasema anajisikia vibaya ataki kuwaona.
Baba mtoto ndiyo kashasema sasa, usikaidi
 
Tangu nimeachana na mwanaume wangu tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja. Sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile, amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume.

Imagine ungekuwa wewe ungefanyaje? Anasema anajisikia vibaya ataki kuwaona.
Pia mwambie baba wa mtoto aache utoto, kwanza unatakiwa ushukuru Mungu kukuepusha na mwanaume wa hivyo, mipango ya Mungu sio kama ya wanadamu
 
Cause imefika stage nimeamua tu kumrespect I m not posting the mens kila nikipost lazima tugombane
Dah haya Makande ya wapi Aya anyway sababu bado unampa basi endelea kumtunzia heshima na sababu bado anakwambia ataachana na aliyenaye endelea kumtunzia heshima na sababu bado unaisi ananipenda basi mtunzie heshima na sababu bado Yuko na Yule Kwa bahati mbaya basi endelea kujikosesha furaha
 
Back
Top Bottom