Just Curious: Wafungwa wa gereza la Ukonga na Seregerea wote wapo gerezani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Just Curious: Wafungwa wa gereza la Ukonga na Seregerea wote wapo gerezani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasheshe, Feb 18, 2011.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tuhabarisheni jamani baada ya dhahama ya mabomu ya GlM (Gongo la Mboto) je wafungwa wa gereza la Ukonga na Seregerea wako huko huko au wako mitaani?
   
 2. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hahaha...ndo aftermaths hizo. Unaweza kukuta hata walinzi walikimbia mabomu yalipoanza!
  hii kama imetokea hutakaa ujue ukweli. serikali yetu imejaa waongo! sina imani nao kabisa!!
   
 3. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  yaani lingepiga ukuta wa gereza ukaanguka naona stop ya kwanza ingekua kibaha, hahahaaa
   
 4. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Kuna kijana mmoja anaitwa Simba pale magomen karibu na bonden hotel,jana karudi kwao eti kwa "msamaha wa mabomu!" sasa napata link,inawezekana ukuta ukawa umeanguka!
   
 5. L

  Luveshi Senior Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  hii kali kama walinzi wamekimbia na wafungwa lazima wakimbie hakuna kubaki mtu hapo.....
   
 6. U

  Uswe JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  are you serious?
   
 7. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  watu hawasemi ila nasikia paa lilitoboka,vijana wakapanda juu! Itajulikana zaidi.
   
 8. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Je ni kweli wale jamaa wamerudi mtaani???:A S 13:
   
 9. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  wacha watoroke. kama majambazi makuu kama rostam yapo mtaani kwanini wezi wa kuku wawe magereza
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 716
  Trophy Points: 280
  hahaahahahh.........simba katoka?!!!!!!
  safi sana
   
 11. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hakuna mtu aliyepata data zaidi?
   
 12. M

  Msharika JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  achawatoroke , hakuna mwenye roho ya chuma.
   
 13. M

  Msharika JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  :rain: kama wanataka kuwakamata waanze na EL, RA na Chenge, ndio wafuatie wengine
   
 14. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sitaki kusikia.....Hawa wafungwa si walewale watanzania ambao maandamano yakitokea wanayalaani...usikute askari walikimbia yenyewe yakawa yamelala kama mazebwe na ukizingatia yamefungwa kwa makosa ya wizi wa kuku na mabeseni...na wakati wenzao wa EPA wanadunda na ''mavx8.''....natamani raisi awaongezee kifungo cha miaka 150 hivi wafie hukohuko pumbavu.  NI BORA YA KIFO KULIKO KUSHUHUDIA UJINGA.
   
Loading...