Just by looking

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,039
1,195
just by looking avatar za watu humu unapata picha(mtazamo gani)kwa mfano:
avatar21903_4.gif
avatar11601_1.gif
avatar11959_7.gif

avatar12996_1.gif
avatar9760_15.gif
avatar17204_9.gif
avatar17682_20.gif
 
seniorita

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
674
0
kuna ambao nahisi ni walevi kinoma,kuna ambao nahisi ni wa mama wa heshima etc
Jipya lipi katika hilo? Watu hawafanani kwa namna nyingi and that is the fact. Even avatar yako pengine inaficha the real you. Hakuna mtu asiyetoka kwenye familia. At the end of it all; thou shall not judge maana kipimo utumiacho ku-judge ndicho hicho na wewe utapimiwa....
 
Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,039
1,195
read between ...............................,I said nahisi hakuna niliposema ndivyo walivyo,ofcousre watu hawafanani hata kama ni mapacha,u can as well tell me na wewe pia hatufanani!
Jipya lipi katika hilo? Watu hawafanani kwa namna nyingi and that is the fact. Even avatar yako pengine inaficha the real you. Hakuna mtu asiyetoka kwenye familia. At the end of it all; thou shall not judge maana kipimo utumiacho ku-judge ndicho hicho na wewe utapimiwa....
 
Smarter

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
486
225
Ya kwanza ya Mdada mwenye shep: Nahisi labda anatamani angekuwa na li Shep!!!!!:
Wa pili.......anapenda angetutisha humu.....and seems to be muangaliaji wa movies za kutisha:
Chapombe:
Brothermen:
Mhhh huyu dogo mwenye kitu kama ng'oma mh!!!
mtoto.................
mdada....................naishia hapo
just by looking avatar za watu humu unapata picha(mtazamo gani)kwa mfano:
avatar21903_4.gif
avatar11601_1.gif
avatar11959_7.gif

avatar12996_1.gif
avatar9760_15.gif
avatar17204_9.gif
avatar17682_20.gif
 
Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,039
1,195
lkn mm sisemehi hawa tu,hii ni mifano ya avatar,wat I mean is ukiwa unaona hizi avatar unapata pivha gani,thx lkn
Ya kwanza ya Mdada mwenye shep: Nahisi labda anatamani angekuwa na li Shep!!!!!:
Wa pili.......anapenda angetutisha humu.....and seems to be muangaliaji wa movies za kutisha:
Chapombe:
Brothermen:
Mhhh huyu dogo mwenye kitu kama ng'oma mh!!!
mtoto.................
mdada....................naishia hapo
 
afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,152
2,000
very unique lol
i dont think the Avatar represent them in any way (my be just one or two)
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,401
2,000
Ya kwanza ya Mdada mwenye shep: Nahisi labda anatamani angekuwa na li Shep!!!!!:
Wa pili.......anapenda angetutisha humu.....and seems to be muangaliaji wa movies za kutisha:
Chapombe:
Brothermen:
Mhhh huyu dogo mwenye kitu kama ng'oma mh!!!
mtoto.................
mdada....................naishia hapo
avatar25955_3.gif

Sawa mkuu,yaonesha wewe ni mtabiri mzuri sana naomba unieleze basi na mimi hii avatar inatoa mtazamo gani kwa jamii.
 
Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,150
2,000
husipokuwa makini unaweza toa mtazamo husio sahihi kuhusiana na avatar za watu humu ndani hasa unapotaka kuoanisha avatar na mtu mwenyewe halisia kitabia na kimuonekano. Si ndiyo? Mfano Kaizer no way out atakuwa mtu wa mitungi tu hata kama ni kwa wastani.

Asprin hawezi kuwa mpole kama avatar yake inavyoonesha lazima atakuwa mnywaji sana na muongeaji over chiriku.

Nguli sio lazima awe na afro unawezakuta ana upara wala havai cowboy. Ni mpole ila mwenye wasiwasi na mchukua tahadhari na anayejipenda.

Cheusimangala anaweza kuwa wala sio mvaa nguo hizo na hana huo mzigo wa kutisha hapo back. Na ajabu unawezakuta mtu mzima fulani hivi ila wakati anakua alikuwa anapenda vitu fulani hivi kama umodel.

Ziondaughter sio lazima awe kama alivyo hapo. Unaweza kuta ni mweusi na bonge fulani hivi. Mkali fulani na sio mtu wa pozi

Ni mtizamo wangu kwa hizi chache alizoweka Pearl. Twaweza endelea bidae. Si ndiyo?
 
Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,039
1,195
ah ah ah hii hii nimeipenda sana!

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom