Jussa na wawakilishi wenzake wasema kama Muungano uwepo basi ni wa mkataba kila nchi kuwa na Malaka

Go to YouTubePlay video
Zanzibar's main opposition party, the Civic United Front, is calling for Zanzibar's secession from mainland Tanzania. Ismail Jusa Ladu, the party's deputy secretary, talks to Al Jazeera's Malcolm…
00:04:14
Added on 26/09/2012
1,052 views

Zanzibar opposition calls for secession - YouTube

Nilishangaa kwanini hajaenda AL-Jazeera... Sasa hiyu Jamaa ana NGUVU haswa... Ina Maana

Haendi Tanganyika kwa shuguli zozote? kwasaabu succession, ina Maana ikifanikiwa kila kitu kitakatwa

Hata kama Bahressa ana Biashara Tanganyika an Zanzibar itabidi achague ni wapi biashara zake zitabaki

Kweli anakubaliana na Mwenyekiti wake au Katibu Mkuu wake ?
 
Anataka Al-Jazeera wamsaidie kuandaa muswada na kuupeleka BLW?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hapa ndio nawashangaa Watanzania Bara wenye mrengo wa "acha Zanzibar iende."

Akisimama Mzanzibar anaesema "tunataka twende" Watanzania Bara wanaosema "acha Zanzibar waende" wanambeza!

Mimi nam support Ismail Jussa 100%, kwamba Muungano ufutwe! Sikubaliani na sababu zake, na yeye hakubaliani na zangu, lakini mwisho wa siku wote tunafikia tamati lile lile, Muungano na ufe!

Ndio maana nam support, kwangu mimi Mtanganyika, Ismail Jussa ni mkombozi!

Taso,

..anatakiwa apeleke hoja yake kwenye vikao rasmi, yaani BUNGE LA MUUNGANO, au BARAZA LA WAWAKILISHI.

..wale wabunge wa G 55[wa tanganyika] hawakuwa wakipiga kelele mitaani, walifanyia kazi hoja yao ndani ya bunge mpaka ikapita, only to be derailed by Mwalimu Nyerere.
 
Anataka Al-Jazeera wamsaidie kuandaa muswada na kuupeleka BLW?

This is politics mazee and he needs support from those who buy in the idea. Personally I support the approach.

Ukisema ni mgeni, ina maana huna hoja kwa sababu hata wewe ni nani anaweza kuverify uraia wako?? Please jibu kwa hoja sio short cut answers!

It is since known that Tanzania Mainland does not agree ZnZ to break away from the Union lakini kosa bado ni kwa Zanzibar yenyewe kuwa haijaamu. But one day yes I believe things will happen.
 
This Juha is crazy. How can CUF which is bed with CCM be referred to as opposition? Shoo Juha with your ballyhoos and abracadabras. We are tired of yahoos and yo-yos who think everybody is as myopic as they are.
 
Please use logical reasoning not abuses! We cant benefit from abuses mazee. Why do you think he is not making sense? Then others will take the opportunity to try and explain. Let us be civilized and make the forum attractrive to people of different types so that we enjoy from the views.
 
This is politics mazee and he needs support from those who buy in the idea. Personally I support the approach.

Ukisema ni mgeni, ina maana huna hoja kwa sababu hata wewe ni nani anaweza kuverify uraia wako?? Please jibu kwa hoja sio short cut answers!

It is since known that Tanzania Mainland does not agree ZnZ to break away from the Union lakini kosa bado ni kwa Zanzibar yenyewe kuwa haijaamu. But one day yes I believe things will happen.

Bayana, hujanielewa, and as a matter of fact Zanzibar haihitahi support toka chombo chochote cha habari either ndani ya nje ya nchi ili wawe 'huru'. All they need to do ni kama ifuatavyo:

1; Waseme hamtambui makamu wa rais ya Jamhuri ya muungano
2. Wawaite mawaziri wote walio kwenye baraza la muungano warudi Zanzibar
3. Wawapige marafuku wabunge wa zanzibar kuhudhuria bunge la muungano
4. Wapele muswada BLW na kumalizia 'divorce'. Kama kuna mbao za kugawana watu wafanye hivyo.

Hayo mambo mengine hayahitaji mtu yoyote toka nje ya Zanzibar kufanya hivyo. Bendera, wimbo wa taifa yote hivi vilifanyika bila ya vipindi Al-jazeera. Kwanini hili la 'uhuru' halifanyiki?
 
Now you are talking and we can understand each other. Hiyo ni moja ya approach ambayo kitaalamu inaweza kuwa ni 'worst case scenario' as the last resort. Why? Kwa sababu muungano ulikuwa wa hiari na kuna mikataba. Isitoshe nchi mbili hizi zina mashirikiano ingawa yana mapungufu.

Mimi mawazo yangu ni kuwa Zanzibar na viongozi wa ZNZ bado ni woga ila njia ya kutoka ipo kideplomasia bila kugombana pale ambapo serikali ya Zanzibar by majority itakapoamua kuitisha kura ya maoni kwa upande wa ZNZ na kupata maoni ya wazanzibari. Lakini njia ya pili ndio hiyo ambayo Jussa ameidokeza ya kupitia maoni ambayo kwa sasa yanakusanywa if 'all goes well'.
 
Hii kuna mtu anajua Zanzibar wanataka nini hasa?? Kama wanataka kujitenga je ni kwanini wanataka mkataba? Mkataba wa nini kama unataka kuwa nchi kamili? Je kama unataka kujitenga kwanini unajali sana jina jina Tanzania halitabadilika kwa mika mingi nchi imekuwa ikiitwa Tanzania na huwezi kuibadilisha sasa kwa sababu ya kujitenga. Zanzibar kama wanataka kujitenga wajitenge lakini wasijichanganye ma mambo ya jina Tanganyika au mikataba mingine kwani mikataba hiyo ndiyo imeleta matatizo. Hakuna mikataba ni tuwe nchi moja au ncho tofauti tuone nani atataka kuwa upande wa Zanzibar!!
Kizazi hiki kina matatizo makubwa zaidi ya malengo ya UHURU wa nchi za Kiafrika. Jussa ana matatizo wala sii kidogo ni mbaguzi kwanza na kisha ni mtu anayetafuta umaarufu kwa kufuata nyayo za Seif Sharrif Hamad ktk kujikweza.

Tumeshasema sana toka mwaka 2000 kama kweli wanataka kujiengua ktk Muungano wafanye referendum wananchi wao wapige kura kama walivyopiga kura kwenye muafaka wa serikali ya mseto maana hapa wameweza kuyaweka mamlaka ya kiutawala chini ya Wazanzibar..Wafanye vivyo hivyo kutafuta imani ya wananchi wake ktk kujitenga na hakika wakikubali wengi serikali ya Muungano haina sababu ya kuwazuia.

Nchi zote zinazotafuta kujitenga zimepitia zoezi hili inakuwaje kwao inakuwa ngumu hata kufikiria hivyo.. majuzi tu South Sudan wameweza kujitenga baada ya kura za maoni..Pia kuwepo kwa takwimu za kura za maoni itakuwa ushahidi mkubwa na tosha kabisa kuwakilisha ktk Jumuiya za kimaitafa iwe UN ama mahakamani ikiwa watakwazwa - Lakini Hawataki kufanya hivyo sababu hatuzijui.
Hizi ni siasa tu za kutafuta umaarufu wasiwaumize vichwa..
 
Bayana, just like your name if it is swahili and practical in use, CUF is not Znz's opposition party from the day it entered a convinience marriage in which Seif was awarded Vice presidency. This is clear. As for Juha sorry Jussa, he has always preached vengence and violence especially toward union. I therefore see nothing in his demagoguery in the first place. So if the issue it to talk about Znz we need to firstly and foremostly have opposition---pure opposition not CUF which is half baked.
 
Kizazi hiki kina matatizo makubwa zaidi ya malengo ya UHURU wa nchi za Kiafrika. Jussa ana matatizo wala sii kidogo ni mbaguzi kwanza na kisha ni mtu anayetafuta umaarufu kwa kufuata nyayo za Seif Sharrif Hamad ktk kujikweza.

Tumeshasema sana toka mwaka 2000 kama kweli wanataka kujiengua ktk Muungano wafanye referendum wananchi wao wapige kura kama walivyopiga kura kwenye muafaka wa serikali ya mseto maana hapa wameweza kuyaweka mamlaka ya kiutawala chini ya Wazanzibar..Wafanye vivyo hivyo kutafuta imani ya wananchi wake ktk kujitenga na hakika wakikubali wengi serikali ya Muungano haina sababu ya kuwazuia.

Nchi zote zinazotafuta kujitenga zimepitia zoezi hili inakuwaje kwao inakuwa ngumu hata kufikiria hivyo.. majuzi tu South Sudan wameweza kujitenga baada ya kura za maoni..Pia kuwepo kwa takwimu za kura za maoni itakuwa ushahidi mkubwa na tosha kabisa kuwakilisha ktk Jumuiya za kimaitafa iwe UN ama mahakamani ikiwa watakwazwa - Lakini Hawataki kufanya hivyo sababu hatuzijui.
Hizi ni siasa tu za kutafuta umaarufu wasiwaumize vichwa..

Mkuu Mkandara, mimi nimesema na ninarudia wanasita kuitumia hiyo njia rahisi na inayokubalika kwa sababu huku wataka na kule wataka...lengo ni kuficha hila zao hizo ndio maana wanatanguliza pendekezo la kipuuzi, eti Muungano wa Kimkataba kati ya nchi mbili zenye mamlaka kamili! They want to eat their cake and still have it! Wao waitane, wapige kura ya maoni... Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ikishazaliwa, nchi hizi mbili (Tanzania na Zanzibar) zikae pamoja ziangalie zitavyoweza kushirikiana kama kutakuwa na umuhimu wa kufanya hivyo, period.
 
Mimi mawazo yangu ni kuwa Zanzibar na viongozi wa ZNZ bado ni woga ila njia ya kutoka ipo kideplomasia bila kugombana pale ambapo serikali ya Zanzibar by majority itakapoamua kuitisha kura ya maoni kwa upande wa ZNZ na kupata maoni ya wazanzibari. Lakini njia ya pili ndio hiyo ambayo Jussa ameidokeza ya kupitia maoni ambayo kwa sasa yanakusanywa if 'all goes well'.

Sidhani kama viongozi wa Zanzibar ni waoga. Hapa kuna wajanja who want to have thier cake and eat it! Historically, wanzanzibari wakitaka kitu watafanya, kwa gharama yoyote ile i.e mapinduzi, kurebisha katiba ya Zanzibar hata kama inapingana na katiba mama (ya muungano) potelea mbali. Hiyo ni sifa moja kubwa. Sasa la kujiluza huu 'uzi' wa mwisho unawashinda vipi kuukata!

Na kama umefuatilia kwa makini mjadala umekuwa unabadilika badlika sana including madai, serikali tatu, tuachwe tupumue, muungano wa Swiss, Eu na sasa wimbo ni muungano wa mkataba! Tanganyika koloni, sasa mkataba na koloni ili iwaje? Akunyonye kwa mkataba? Mambo mapya haya!

Kama nilivyosema wajanja na hasa wanasiasa wanataka vyotevyote, vya Tanganyika na vya Zanzibar. Hivi unafikiri mtu kama Bakharesa atakubali muungano uvunjike kimoja? Au vigogo wenye ardhi kubwa Tanganyika wataacha kutumia hoja za kijanja (mkataba). Na ndio sababu nasema Al-jazeera ni kupoteza muda, majibu yote yanatakiwa yatoke hapa hapa.

Maoni anayoongelea Jussa ni ya muungano wa mkataba! huu ni mkakati wa wajanja wa kuwa na mkataba na 'koloni'.
 
Hakuna cha mkataba! Waishie huko!!. Si walisema hawataki muungano? Baada ya kuona bara inao utajiri mkubwa wa gesi sasa kwa unafiki wanabadili mawazo.
 
Hakuna cha Muungano wa Mkataba, huyo kilaza Jussa na hao wawakilishi wenzake mbona hatuwasikii ndani ya BLW na mbona hatuwasikii ndani ya Bunge la Muungano? Huo mkataba si lolote zaidi ya udanganyifu katika kutafuta njia ya kuendelea kupakatwa na kujinufaisha na rasilimali za Tanzania bara kupitia mlango wa uani. Na kwa ufahamisho zaidi, jina Tanzania halitafutika hata wakijiondoa...jina India halikufutika Pakistani ilipojiondoa na baadaye halikufutika Bangladeshi ilipojiondoa, Ethiopia haikufutika Eritrea ilipojiondoa sasa kwa nini Tanzania ifutike kwa sababu tu tuvisiwa ambavyo wakazi wake hawafiki hata asilimia tano (<5%) ya Watanzania ikijiondoa? Wafungashe tu waondoke...Me? I definitely wont miss them, it is just good riddance!

Arrogance is a sign of stupidity
 
Arrogance is a sign of stupidity

images

takashi: Ten out of five say you are arrogant.
Mag3: I'm humbled.
 
Nilishangaa kwanini hajaenda AL-Jazeera... Sasa hiyu Jamaa ana NGUVU haswa... Ina Maana

Haendi Tanganyika kwa shuguli zozote? kwasaabu succession, ina Maana ikifanikiwa kila kitu kitakatwa

Hata kama Bahressa ana Biashara Tanganyika an Zanzibar itabidi achague ni wapi biashara zake zitabaki

Kweli anakubaliana na Mwenyekiti wake au Katibu Mkuu wake ?[/COLOR][/FONT][/SIZE]

Bakhresa , anabiashara hata Burundi,Uganda n.k
 
Taso,

..anatakiwa apeleke hoja yake kwenye vikao rasmi, yaani BUNGE LA MUUNGANO, au BARAZA LA WAWAKILISHI.

..wale wabunge wa G 55[wa tanganyika] hawakuwa wakipiga kelele mitaani, walifanyia kazi hoja yao ndani ya bunge mpaka ikapita, only to be derailed by Mwalimu Nyerere.
Mkuu, Jussa sio Mbunge, hawezi kupeleka hoja yake kwenye Bunge la Muungano.

Kwenye Baraza la Wawakilishi haya mambo anayaongea kila wakati. Lakini yeye ni mwakilishi wa chama minority, hoja za minority mara nyingi zinazidiwa na nguvu ya namba. CCM, the majority hawataki muungano uvunjike, sababu CCM nayo itabidi ivunjike.

Ndio maana anafanya jitihada za kuzitoa hoja zake nje ya bunge, ku sensitive wananchi. Namuunga mkono asilimia 100, ni mkombozi wa wenzake Wanzanzibari na sisi pia Watanganyika.

Tunataka kila upande uwe ni dola huru yenye mamlaka yake kamili, ndani na nje ya nchi.
 
Kizazi hiki kina matatizo makubwa zaidi ya malengo ya UHURU wa nchi za Kiafrika. Jussa ana matatizo wala sii kidogo ni mbaguzi kwanza na kisha ni mtu anayetafuta umaarufu kwa kufuata nyayo za Seif Sharrif Hamad ktk kujikweza.

Tumeshasema sana toka mwaka 2000 kama kweli wanataka kujiengua ktk Muungano wafanye referendum wananchi wao wapige kura kama walivyopiga kura kwenye muafaka wa serikali ya mseto maana hapa wameweza kuyaweka mamlaka ya kiutawala chini ya Wazanzibar..Wafanye vivyo hivyo kutafuta imani ya wananchi wake ktk kujitenga na hakika wakikubali wengi serikali ya Muungano haina sababu ya kuwazuia.

Nchi zote zinazotafuta kujitenga zimepitia zoezi hili inakuwaje kwao inakuwa ngumu hata kufikiria hivyo.. majuzi tu South Sudan wameweza kujitenga baada ya kura za maoni..Pia kuwepo kwa takwimu za kura za maoni itakuwa ushahidi mkubwa na tosha kabisa kuwakilisha ktk Jumuiya za kimaitafa iwe UN ama mahakamani ikiwa watakwazwa - Lakini Hawataki kufanya hivyo sababu hatuzijui.
Hizi ni siasa tu za kutafuta umaarufu wasiwaumize vichwa..

Mkuu mm huna habari kama hao wazenji wamesha fanya maandamano mengi ya kutaka kuletwa sheria ya kura ya maoni kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar....lakini kila wanapofanya hivyo huwa wanaletewa jeshi na hupewa kichapo kikali na baada hupelekwa lupango kwa sababu ya kupigania haki ya nchi yao :tape2:
BILA YA SISI RAIA WA UPANDE WA PILI WA MUUNGANO KAMA HATUJA STAND UP NA KUSEMA MUUNGANO BASI AU UREKEBISHWE BASI WAZANZIBARI WATACHELEWA SANA KUPEWA MAMLAKA YA SOVEREIGN STATE YAO:gossip:

[h=3]FREE-ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI INATOWA ...[/h]free-zanzibar.blogspot.com/.../free-zanzibar-people-from-mkoloni.ht...Cached
You +1'd this publicly. Undo
18 Ago 2012 WAZANZIBAR WANAO DAI NCHI YAO KUWA HURU NA ISIENDELE KUTAWALIWA NA WATANGANYIKAA WATIWA MBARONI NA JESHI HILI LA KITANGANYIKA LENYE KUENDELEZA UDIKTETA NDANI YA NCHI YA ZANZIBAR

[h=3]Picha Za Yale Maandamano Ya Wanaharakati Wanaodai Kura ya Maoni Dhidi ya Muungano Zanzibar[/h]

IMG_3495.JPG

Mdau
wa kikundi cha Wazanzibari wanaodai kuitishwa kura ya maoni dhidi ya
Muunganoakisindikizwa na polisi kuondoka sehemu ya maandamano

IMG_3477.JPG

Kiongozi
wa kikundi cha Wazanzibari wanaodai kuitishwa kura ya maoni dhidi ya
Muungano Rashid Salum Adiy akizungumza muda mfupi baada ya kushikwa na
polisi kwa kufanya maandamano kinyume na sheria

IMG_3473.JPG

Kiongozi wa kikundi cha Wazanzibari wanaodai kuitishwa kura ya maoni dhidi ya Muungano Rashid Salum Adiy akizungumza na simu.

IMG_3483.JPG

Jeshi la Polisi likitoa tahadhari kwa wananchi waliofika katika viwanja
vya baraza la wawakilishi wakidai kuwepo kwa kura ya maoni juu ya
Muungano

IMG_3492.JPG

IMG_3493.JPG

Kikosi maalum cha Polisi cha kuzuia fujo kikijipanga kukabiliana na wanaharakati waliofika baraza la Wawakilishi jana

IMG_3485.JPG

Baadhi ya Wanaharakati waliokuwepo kwenye viwanja vya baraza la
wawakilishi wakisubiri hatima yao ya kutaka kuonana na Spika wa Baraza
la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho.

IMG_3504.JPG

IMG_3506.JPG

Hashim na wenzake wakiwa katika gari la Jeshi la Polisi likiwachukua na
kuwapeleka Madema, baada ya kukusanyika katika viwanja vya baraza la
wawakilishi wakidai kuwepo kwa kura ya maoni itakayoamua kuwepo au

polisi.jpg
polisi2.jpg

chini-ya-ulinzi.jpg

MAKABURU WA KITANGANYIKA WAKIWASHIKILIA RAIA HALALI WA NCHI YA ZANZIBAR NAKUWACHUKUWA KTK GARI LAO HILO KUWAPELEKA KTK POLISI YA UKABURUNI NA HATUJAJUWA HATAMA YAO VIPI WATU HAWA WALIO CHUKULIWA NA HILI JESHI LA KIKABURU KUTOKEA HUKO TANGANYIKA WAMECHUKULIWA ILI WASIDAI HAKI YAO YA NCHI YAO KUWA HURU NCHI HII YA ZANZIBAR IMETAWALIWA KWA MABAVU NA GUVU ZA JESHI LA WAKOLONI WEUSI WAKUTOKA TANGANYIKA KWA NUSU KARNE SASA.
 
Kwelin akutukanae hakuchagulii tusi.

Naona sasa WaTanganyika wamepata kiwewe na wanaweweseka vibaya sana.

Tukumbuke kuwa hakuna dhuu. Laazima Znz itakuwa huru tu.
 
Back
Top Bottom