Jussa kurithi mikoba ya ufisadi ya Rostam

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233

Ismail Jussa, mwanasiasa kijana wa Visiwani wa CUF anangojea kurithi mikoba ya ufisadi ya Rostam pindi Muirani huyo atakapotimka nchini. Wawili hawa ni maswahiba wakubwa
sana na kinachoendelea kati yao si vigumu kukijbaini -- kuwaibia Watanzania. Hivi sasa yuko katika -coaching kabambe ya namna ya kuzinasa dili za kifisadi -- za visiwani na hapa Bara.
 
Nonesense. Kwa nini unaandika vitu vya kudhania?

Lets not judge him first Mkuu, tumuombe atupe evidence, au ni kipi anachojua atujuze lets give him time to respond Tukiwa wakali tutafanya watu waogope kutuletea habari
 
Msimpe mzee pressure, sasa hivi kampuni lake la ujenzi wa barabara aliwezi kupata tena tenda mbele ya mwakyembe
 
Ninawasi wasi na taarifa zako, kutokana na jina lako pamoja na hiyo Avatar yako!
 
Ismail Jussa, mwanasiasa kijana wa Visiwani wa CUF anangojea kurithi mikoba ya ufisadi ya Rostam pindi Muirani huyo atakapotimka nchini. Wawili hawa ni maswahiba wakubwa
sana na kinachoendelea kati yao si vigumu kukijbaini -- kuwaibia Watanzania. Hivi sasa yuko katika -coaching kabambe ya namna ya kuzinasa dili za kifisadi -- za visiwani na hapa Bara.

Kwahiyo unatuambia kwamba yeye ndiye amemwajiri Shein? Maana huku bara tunajua Rostam kamwajiri JK
 
Lets not judge him first Mkuu, tumuombe atupe evidence, au ni kipi anachojua atujuze lets give him time to respond Tukiwa wakali tutafanya watu waogope kutuletea habari
ni bora wasilete kuliko kukaa na kuwaza halafu kupost JF, we should be careful adn better than that

what if i come up with B/S like: "habari zisizo rasmi ni kwamba JK amejiuliza sana na kujutia kumuacha Lowassa na kumuingiza magufuli kwenye baraza la mawaziri wakati lowassa ni swahiba wake" --- WOULD THAT MAKE SENSE ADN WORTH POSTING??

THESE POSTS ARE RUBBISH
 
Back
Top Bottom