Junior Kasanga na raia wa China, wakamatwa wakitorosha dhahabu waliyochimba

Kwani wamekamtiwa wapi?
Wapi walitakiwa kulipia kodi?
Walikuwa mpakani mwa nchi au?
 
Mtoa mada hii mbona hujaifanyia utafiti suala hili?wanatorosha kupeleka wapi?na WHY umetoa picha yao kabla hawajasimama mahakamani??nchi now inaendeshwa kisheria na sisi ni wajibu wetu kuishi kisheria,hawa ni suspects na haki zao bado zipo kama mimi na wewe,sasa ikitokea walikamatwa kimakosa na wakaachiwa huoni utakua umewakosea?maana kuwatoa hadharani tayari umeshawahukumu.

Hivi suspects haitolewi picha yake? Wanatorosha na kupeleka wanapo pajua wao. Hapo huioni nembo ya ITV hata umshutumu mleta uzi? Na hata wakifikishwa kituoni lazima wachukuliwe mug shot. Hukumu hutolewa mahakamani ila suspect hupelekwa kituoni kwanza.


Lunatic
 
Nchi nyingi hata zile za ulaya zinapokea wageni hasa wachina kuweza kukuza zaidi chumi zao, na wachina ni wengi sana kwenye nchi kama Australia na wamewekeza mitaji mikubwa sana na kuna kipindi kulikuwa kuna maandamano ya wazungu kupinga uvamizi wa wachina. Je, sisi tumejipanga vipi kuwakaribisha hawa wageni kama wachina wanaokuja na mitaji na teknolojia kwenye kuchangia kukuza uchumi wetu, au tunabaki tu na mawazo hasi dhidi ya hawa ndugu..
 
Utasemaje kaiba Mtu katumia resources zake kuchimba akiwa na leseni harali, Utasemaje katorosha wakati ni mali yake alotafuta na anataka akauze apate hela mingi Kwa kukwepa madarali(serikali) ambao hata siku moja wamejificha nyuma kwa kauli ya Maslahi ya Uma.

Sheria zingine bhana za kinyonyaji sana, Mbona hizo ndege zinazobeba matofali ya Dhahabu ,Almas na Kadhalika kutoka Bul, Buzwagi , GGM hawasemi zinatorosha, midege kila siku inabeba matofali ya Madini na wanaenda kuuza wanakotaka/Soko huria eti sie tunatungiwa sheria ya Kuuza kwenye masoko yao ya Kudalalia.

Hiii inchi haitokaa ipate mzalendo hata one day, ni kuiba na Kupulizia kwa kauli za kizalendo tu
 
Mapichapicha! Watu wanatafuta, wasiachwe kwenye teuzi za ma DC,

Hao watu wanatorokea wapi?? Waache kuchafua watu! Watu wanapeleka madini kuuza sokoni, tiyari mmewahukumu mnawaita watoroshaji.
Mazingira ya kutaka hela kama kina Sabaya.
Mama apige marufuku hizi drama za wateule.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Uzalendo ni msamiati mgumu mnoo kwetu, sababu wizi unaanzia kwa wale tuliowaamini na kuwapa madaraka..

Kila mtu akipata nafasi anapiga tu, hata mimi ikitokea mazingira ya kupiga nitapiga(unafiki sipendi)

Bahati mbaya kwa mwamba kanaswa tu..
Jadi yetu weusi
 
Ma nchi kama haya ambayo watu wake kuiba wanaona ni moja ya njia ya kujipatia kipato ni bora kuwa na viongozi madikiteta tu kwa maana democrasia haiwezi kufanya kazi kwa Africa hata siku moja .
Nitajie dikteta asiye mwizi
 
Mkuu wa wilaya ya Ulanga Ngolo Malenya na kamati yake ya usalama wamemkamata mwekezaji Mtanzania Junior Kasanga akishirikiana na watu wengine wakiwemo raia kutoka nchini China wakitorosha madini ya dhahabu waliyochimba kwenye mgodi uliopo kijiji cha Isyanga wilayani humo.

View attachment 1805686
Duh...nchi imefunguliwa Sasa kwanini wakamatwe.....hao wamebambikiwa tu....waachiwe
 
Uzalendo ni msamiati mgumu mnoo kwetu, sababu wizi unaanzia kwa wale tuliowaamini na kuwapa madaraka..

Kila mtu akipata nafasi anapiga tu, hata mimi ikitokea mazingira ya kupiga nitapiga(unafiki sipendi)

Bahati mbaya kwa mwamba kanaswa tu..
Mkuuu umeongea vizuri kabisa, Nimekaa sana Isyaga.
 
Mkuu wa wilaya ya Ulanga, Ngolo Malenya na kamati yake ya usalama wamemkamata mwekezaji Mtanzania Junior Kasanga akishirikiana na watu wengine wakiwemo raia kutoka nchini China wakitorosha madini ya dhahabu waliyochimba kwenye mgodi uliopo kijiji cha Isyanga wilayani humo.

Wachina ni wahuni sana, kuna mmoja alikuja kupanga kwenyw apartment yetu nikamuuliza anaitwa nani na anafanya kazi agani akaniambia anaitwa Esta Mushi, nilimtimua nikamwambia asirusi tena
 
Hiyo ni kati ya kilo 5 mpaka 7.... Bei ya leo ni 141,836/= TSH per GRAM.

1Kg=1000Gm piga hesabu wangepata kiasi gani cha fedha kama wangefanikiwa

ADHABU YAO.
.hiyo mali inataifishwa

.Kama walikua na gari inataifishwa

.Uhujumu uchumi inawahusu

.Account zao zitashikiliwa kwa muda mrefu so kurudi kwenye game asahau tena ingekua kipindi cha mzee ndo kwisha habari yake.


Lipa tozo/kodi ya serikali utafanya ujanja ila ukikamatWa umekwisha. Trust me kwenye madini ni balaa macho yamejaaa kila kona. wapo wanaofanikiwa pia ila mwisho hukamatwa tu.
 
Back
Top Bottom