Jumuiya Ya Watanzania Uingereza Yadaiwa Kuwa Kigenge Cha Maslahi Binafsi

http://abnrealestates.com/index.php?option=com_content&task=view&id=12&Itemid=29

Hii topic ilinipita...Wakuu kuna mtu ana copy ya Katiba ya TA naona wakati umefika tuanze mkakati wa Uchaguzi Mpya.

Yebo yebo,

Mkuu umenichekesha sana, yaani unaulizia katiba ya TA?

Kumetokea nini toka jana? Usije ukawa unaumwa mkuu au mtu mwingine anatumia username yako. Maandishi yako toka jana ni kama sio wewe.

Kama ndio umeelewa ukweli, basi ni jambo jema, taratibu kile ambacho tulikuwa tunakisema toka mwaka jana kinaanza kueleweka sasa.
 
Yebo yebo,

Mkuu umenichekesha sana, yaani unaulizia katiba ya TA?

Kumetokea nini toka jana? Usije ukawa unaumwa mkuu au mtu mwingine anatumia username yako. Maandishi yako toka jana ni kama sio wewe.

Kama ndio umeelewa ukweli, basi ni jambo jema, taratibu kile ambacho tulikuwa tunakisema toka mwaka jana kinaanza kueleweka sasa.


Kwa sasa Abuu kesha jikita mtafanya kazi sana kumuondoa .
 
Mimi sijui hii nchi tutajificha wapi. Ndio mimi FMES nasema tufike mahala tukubali tujaribu na chama kingine. Nasema hivi kwa sababu CCM inatu-haunt kila tunapoenda. .


Kitila,

Umenichekesha sana CCM inawa-haunt kila mnapoenda , that was fun. In your opinion, what do you think is the solution to this prevalent problem ? ... and by the way, thanks a lot for making my day.
 
Kama kweli huyu jamaa (mtoa habari) alimtaka mwenyekiti wake aitishe kikao, impliedly, Abu Faraji anamfahamu ni nani na hivyo sioni mantiki ya kutotaja jina lake. Mpaka hapo ameishajiweka wazi!

Vinginevyo halitakuwa swala la woga bali ni udaku ambao unaweza kuwa na ukweli ndani yake ila unakuja kwa style ya kuchomeana utambi ama kwa style ya ukimwaga ugali, mimi ninamwaga mboga ... kitu mgao kinaleta shida kwenye hizo deals!
Kwashambee Abu, kulekhekiwe kirikiri, wapareeeee
 
matokeo ya kujitwika ma box na nyumbani hawapakumbuki wao wana angusha party tu lazima walaaniwe hawa .Walisha uingia mkenge kuchoma si leo .
 
Hiyo jumuiya ya watanzania Uk inafanana kitabia na ile ya waliopo Nederlands.... Kila siku migogoro kwasababu ya selfishness kila mtu hana imani na mwenzake. Hakuna collective responsibility hata siku moja!
 
Dr Kitila mkumbo unachokisema kwa upande mmoja kina mantiki kuwa baada ya kuzidiana kete ndio mambo kama hayo yanajitokeza.sasa wanaitaji ushauri nini wafanye ili haya yanayotokea yasiendelee kutokea ama hiko mbeleni yasije tikea makubwa zaidi ya haya yaliyopo sasa
 
Back
Top Bottom