Jumuiya ya ulaya: Uhai wa Baraza la Mawaziri wa Tz hauzidi miezi 18

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Hi wana jf.
'Watoa misaada' kutoka jumuiya ya ulaya wamelipa Baraza la Mawaziri uhai usiozidi miezi 18 . Ktk kipind hicho ni lazima Jk atalivunja na kuunda upya. Na wameonesha kuwa mawaziri walio ktk nafasi ya kurudi kwenye wizara ni Dr Magufuli na Prof. Tibaijuka
 
kwa hali hii lazima baraza livunjwe kwani ule ukweli mkuu wananchi wameshauskia.
muda wa watu flan kuikimbia nchi umefika
 
kwani mkwere anajua hao nadhani kwake ni heri kukumbatia madudu ili muhula wake umalizike
 
Hi wana jf.
'Watoa misaada' kutoka jumuiya ya ulaya wamelipa Baraza la Mawaziri uhai usiozidi miezi 18 . Ktk kipind hicho ni lazima Jk atalivunja na kuunda upya. Na wameonesha kuwa mawaziri walio ktk nafasi ya kurudi kwenye wizara ni Dr Magufuli na Prof. Tibaijuka

Source Please.
 
eleza source please, ili habari yako isionekane ni ya kupikwa.
 
Hi wana jf.
'Watoa misaada' kutoka jumuiya ya ulaya wamelipa Baraza la Mawaziri uhai usiozidi miezi 18 . Ktk kipind hicho ni lazima Jk atalivunja na kuunda upya. Na wameonesha kuwa mawaziri walio ktk nafasi ya kurudi kwenye wizara ni Dr Magufuli na Prof. Tibaijuka

Watakuwa walimaanisha siku 18, kwani itakatisha tamaa Kama likikatiza kikao kijacho cha bunge
 
Tangu sheikh yahaya atimuliwe commoro hana hamu...na tangu wa tz wambaini kuwa anatishia watu wanaotaka kumpinga msukule wake watakufa sijamsikia tena hana jipya ajiuguze maradhi yake aachane na siasa za tz
 
Source kesi za uchaguzi kwa mawaziri waliobaka domokrasia na kauli za mawaziri kupigana kwa mfano ishu ya kfsadi ya Dowans.Hapo kuna miezi 18 kumaliza!
 
Hi wana jf.
'Watoa misaada' kutoka jumuiya ya ulaya wamelipa Baraza la Mawaziri uhai usiozidi miezi 18 . Ktk kipind hicho ni lazima Jk atalivunja na kuunda upya. Na wameonesha kuwa mawaziri walio ktk nafasi ya kurudi kwenye wizara ni Dr Magufuli na Prof. Tibaijuka
Huu ni unabii, utabiri au lamuli?? Kazi ipo.
 
Hi wana jf.
'Watoa misaada' kutoka jumuiya ya ulaya wamelipa Baraza la Mawaziri uhai usiozidi miezi 18 . Ktk kipind hicho ni lazima Jk atalivunja na kuunda upya. Na wameonesha kuwa mawaziri walio ktk nafasi ya kurudi kwenye wizara ni Dr Magufuli na Prof. Tibaijuka

Wajinga hao wanawapumbaza Watanzania ukweli ni kwamba serikali ya rais Mwizi haiwezi kudumu kwa zaidi ya miezi 18 i.e. ataondolewa kwa aina yoyote ile kutoka Ikulu.
 
Hivi wao uko ulaya ni wanani ? mbona mabaraza ya wenyewe pia yanavunjika kila wakati ?

Italy ?

Uk?

France?

Germany ?

Mbona wenyewe wana matatizo mengi kwenye mabaraza yao kuanzia ufisadi Shirack, Belesconi pamoja na uzinzi umetawala na bila kusahau Expenses scandal kule UK!!

Kikwete na watanzania wanuwezo wa kujifanyia mambo yao sio kusikiliza lecturs toka EU, wao wenyewe maisha yalisha washinda
 
Back
Top Bottom