Jumuiya ya Ulaya (EU), kupunguza mchango wake wa Euro 800 kwenye bajeti ya Tanzania

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Pesa ya Euro.jpg

JUMUIYA YA ULAYA (EU) KUPUNGUZA MCHANGO WAKE WA JUMLA YA EURO MILLIONI 800 KATIKA BAJETI YA TANZANIA MWAKA HUU SMZ KUPUNGUZA WAFANYAKAZI. NA KUFUTA MIKATABA YA WALIONGEZEWA MUDA BAADA YA KUFIKIA UMRI WA KUSTAAFU

Baada ya kusuasua kwa uchumi wa Tanzania na kupanda kwa kiwango wa ubadilishajiwa fedha za kigeni, bajeti ya Tanzania na hususan Zanzibar itaathika kwa kiasi kikubwa na hasa baada ya wahisani kuondoka msaada wa kibajeti.

Habari kutoka ndani ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) zinasema serikali imeanza kufiria njia mbadala kubabiliana na ukwasi hii ni pamoja na kupunguza wafanyakazi wa serikali wa kada mbali mbali na ikiwa ni pamoja na kufuta mikataba ya wale waliongezewa haliyakuwa walisha fika umri wa kustaafu hususan maafisa wa ngazi ya juu serikalini, imeelezwa makatibu wakuu wengi wameshafikia umri wa kustaafu lakini serikali imewaongezea muda wa miaka miwili na kuigharimu serikali mamilioni kila mwaka.

Pamoja na serikali kuazimia kupunguza wafanyakazi wakati huo huo inakabiliwa na kikwazo chengine, haina fedha za kuwalipa wale ambao wataondolewa kazini bila ya kufikia umri wa kustaafu ambapo mafao yao hayatalipwa hadi wafikie umri wa kustaafu, hivyo SMZ italazimika kuwafidia na haina fedha.

Njia nyengine ilioelezwa ni kwa Dr. Shein kuzungumza na CUF kuona ni jinsi gani wataweza kushiriki katika serikali shirikishi na hivyo kubadili msimamo wa wafadhili wa kibajeti jambo ambalo pia lina utata kufikia makubaliano baada ya serikali kuendesha uchaguzi wa marudio tarehe 20 Machi 2016 na baraza la wawakilishi kuapishwa.

Karata ya mwisho kwa SMZ ni kwa rais Dr. Ali Mohamed Shein kuvunja baraza la wawakilishi ambalo halina hata mwezi ili kuitisha uchaguzi mpya, lakini pia katika hili serikali inakabiliwa na mtihani mwengine haina fedha za kugharamia uchaguzi upya kuanzia uandikishaji wapiga kura hadi kupiga kura.

Baadhi ya nchi wafadhili wameonyesha nia ya kugharamia uchaguzi mpya lakini kwa masharti maalum ikiwa ni pamoja na Tume huru kusimamia uchaguzi huo itakayoshirika wawakilishi wa nchi wahisani na mashirika ya kimataifa, aidha uchaguzi uwe wa wazi na shirikishi, na katika hali hiyo CCM itakuwa na nafasi ndogo sana ya kushinda uchaguzi hasa baada ya kukimbiwa na wapiga kura wengi vijana, na CCM haiwezi kushinda kwa idadi ya wanachama wake pekee inahitaji wapiga kura wasio na mrengu ambayo wengi ni vijana ambao hawana ajira.

Chanzo : Kisiwandui
 
View attachment 334387

The show goes on, VIVA JECHA
 
Kuna watu wanahisi nchi inaweza kujitegemea sahau ! Hivi unajua Wamerekani wanamuhitaji Sana Muisraeli siyo Kama Muisraeli anavyo muhitaji Mmarekani. Ma mtoto hawezi kukimbia kabla ajatembea. CCM IMETUFIKISHA HAPA.
 
Nawafurahia wananchi wa zanzibar, maana wamekomaa mpaka kinaeleweka soon.
 
Back
Top Bottom