Jumuiya ya siri ya Watu Waaminifu - The Secret Society of Trustful Men (TSSTM)

Write your reply...mkuu kila members anapewa utajiri?

hamna kafara ya damu?

jibu maswali haya chapu tujue tunajiunga au laa
 
Maisha ya sasa watu wanakwama vitu vidogo vidogo sana. Si ajabu ukakwama shida ya sh 10,000/- na hakuna mtu wa kukusaidia. Kisa? Kukosekana kwa uaminifu miongoni mwetu
wewe unataka kuanza uchawi freemason ya AFRICA
 
Sikukatishi tamaa ila unachokifanya hapa ni bora ukafuge kuku utakula mayai

Kila la kheri
 
Back
Top Bottom