Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 17,895
- 25,944
Unawajua washenzi wa Lagos?
Mnapoitana siku hizi Mabaharia mna maana ndio akina nani? Mkoje?
Mnapoitana siku hizi Mabaharia mna maana ndio akina nani? Mkoje?
Unawajua washenzi wa Lagos?
Hapana.
Nitoe ushamba mkuuView attachment 1191649
Mabaharia mje tuungishane.
Hii sio mizigo ya kukosa geto kabisa.[color]
Cc Unforgetable
Nimekupata MrDada mbona hasira kama zote
Hakuna baharia anayeishi kwao huyo atakuwa fake
Nimeandika kutaturiwa nipunguze ukali..ningeandika vile yenyewe kabisa ungesemaje?Punguza ukali wa maneno
Unataka nipewe ban?Andika yenyewe tuone
Baharia hata kama upo iringa, makambako au njombe lazima uogee maji ya barafuKuna haja ya kuongeza saut kweli mabaharia wenzangu au volume iko sawa
Bas kama dawa kama kawa
Sisi ndo mabaharia na hili ndo genge letu
Kitu cha kuzingia baharia popote uwapo, hakikisha hutwangushi mabaharia wenzio
Ukipewa papuch ichakaze kweli kweli
Ukipewa kazi ichape kweli kweli
Demu kama ana bwawa chapa mara moja lala roma
Kazi kama hailipi achana nayo
Ni marufuku kwa baharia kuishi kwao yaan kwa mama
Ni marufuku kwa baharia kuwa shabiki wa man united
Ni marufuku kwa baharia kuwa boya boya hakuna habaria boya
Ni marufuku kwa baharia kuwa tapel hakuna baria tapel lakin baharia lazima uwe mtoto wa mjini
Na mengine mtaongeza mabaharia
Sisi ndo mabaharia na huu ndo uzi wetu
View attachment 1191637