Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, mada maalumu

Mayala B

JF-Expert Member
May 13, 2019
1,450
3,379
Kuna haja ya kuongeza saut kweli mabaharia wenzangu au volume iko sawa

Bas kama dawa kama kawa

Sisi ndo mabaharia na hili ndo genge letu

Kitu cha kuzingia baharia popote uwapo, hakikisha hutwangushi mabaharia wenzio

Ukipewa papuch ichakaze kweli kweli
Ukipewa kazi ichape kweli kweli

Demu kama ana bwawa chapa mara moja lala roma

Kazi kama hailipi achana nayo

Ni marufuku kwa baharia kuishi kwao yaan kwa mama

Ni marufuku kwa baharia kuwa shabiki wa man united

Ni marufuku kwa baharia kuwa boya boya hakuna habaria boya

Ni marufuku kwa baharia kuwa tapel hakuna baria tapel lakin baharia lazima uwe mtoto wa mjini

Na mengine mtaongeza mabaharia

Sisi ndo mabaharia na huu ndo uzi wetu

tapatalk_1566938993884.jpeg
 
Secretary njoo PM nikutume sehemu

Katibu Uenezi wa JUMUIA YA MABAHARIA TZ
Asilimia 100% ya koment za ivi, huwa zinaanza "niPM"...

Ivi huwa ni kutafuta kumdogosha mtu aonekane ndio muhitaji sana???

Kwann msiwe mnawafata wenyewe PM??

Ila kwa akili za Mademu wa Humu, watakuja, wanaliwa, wanapigwa chini, wanarudi wanapiga kimyakimya
 
Mabaharia wote wa bwawa Mindu,Mto Muheza,Mto Wami,Mto Dakawa,Daraja la Mkapa,Mto Msimbazi,Kitonga,Sekenke,Ziwa la Mungu,Ziwa Tanganyika pamoja na mabwawa,mito na Maziwa yote Nchi nzima nawatangazia kikao cha dharura..
MwenyeKiti

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
 
Kuna haja ya kuongeza saut kweli mabaharia wenzangu au volume iko sawa

Bas kama dawa kama kawa

Sisi ndo mabaharia na hili ndo genge letu

Kitu cha kuzingia baharia popote uwapo, hakikisha hutwangushi mabaharia wenzio

Ukipewa papuch ichakaze kweli kweli
Ukipewa kazi ichape kweli kweli

Demu kama ana bwawa chapa mara moja lala roma

Kazi kama hailipi achana nayo

Ni marufuku kwa baharia kuishi kwao yaan kwa mama

Ni marufuku kwa baharia kuwa shabiki wa man united

Ni marufuku kwa baharia kuwa boya boya hakuna habaria boya

Ni marufuku kwa baharia kuwa tapel hakuna baria tapel lakin baharia lazima uwe mtoto wa mjini

Na mengine mtaongeza mabaharia

Sisi ndo mabaharia na huu ndo uzi wetu

View attachment 1191637
Umesahau kitu muhimu. Baharia hakikisha unabet lkn isiwe kazi. Iwe kama mchezo na sio unabet jero jero. Unaweka 10k kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom