Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, mada maalumu

Mshatapeli ela za watu miaka kibao hapo avalon house afu mnazingua et hakuna baharia tapeli.watu wana miaka saba wanadubiria kazi hakuna et utaskia mtu anakwambia mwali tusha mchukua bado kumvua nguo tu kina dede hao na kuna mtu aliitwa mwanasheria.mm binafsi nishatoa ela hapo zaid ya laki tano kwa kushikwa maskio eti mtaenda kwenye rig mshahara kwa siku dola 250 lakin hamna hata mtu amepata kazi.na kama kunabaharia yupo kwenye jumuia hii namshauri awe baharia wakujitegemea kama mm.nishapata safari mbili toka nimeachananahao jamaa na mpaka sasa naandika uzi huu sipo nyumban.na naimaind sana jumuhia ya mabaharia kwa kuwadanganya watu.
Solidality......
Nahisi hujaelewa ni mabaharia gani wanaongelewa hapa pole mkuu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ
20190904_132549.jpeg
 
Back
Top Bottom